Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,970
- 168,908
Anaambiwa ukweli then achague atasuka au atanyoaacha kumpotosha mdau mwachen aoe
Anaambiwa ukweli then achague atasuka au atanyoaacha kumpotosha mdau mwachen aoe
Mkuu una 24 unataka kuoa? au nmeona vbaya
Ni bola ndoa ife lakini sio kanisa lakeNikimpata nitamnyosha tu hata kwa vibao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa post za humu sio mmoja tu bali ni wote ila huyu anajaribu kuficha yaliomokuna mmoja yupo tofauti na yote uliyosema
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Polee snaa kaka wengine wanaenda kujificha hukooo watu wenye mentality kama yako wajee soo poleeeMaisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakuwa bandia maana kwenye msafara wa Mamba kenge huwa hawakosi.kuna mmoja yupo tofauti na yote uliyosema
Nimeokoka nampenda Yesu we dada...[emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona binti mlokole!!!
Haswa, Wanampenda kupitia Baba mchungajiwanampenda yesu Kristo zaidi kuliko mume
At least inatia moyo.Ukibahatika kumpata aliyeookoka kwanza huwa ni wanyenyekevu, wapole, wavumilivu, kwao hawaamini katika kuachana, taa yao haizimiki usiku hapa kuwa kwakua mwili huwa wameufunga wakiufungua ni shida utapata vitu wewe mpaka usahau kwenu hata kama sio bikra utaikuta ni mnato balaa maana anasiku nyingi akiufunga mwili. Kuhusu roho mbaya hili halipo japo huwa si watu wa kujichanganya kwenye vikundi vya umbeya mtaani hutomkuta katu ni mtu ndani tu hivyo hili huwafanya wengi kuwasema sana hasa jinsia kike. Kingine kama unadungu waendeo bila ya utaratibu huwaambia ukweli ili wabadilike huwa hawakai na la moyoni katu hayo ni machache tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa bia 2 naja lipaAcha kuamua maamuzi ya majuto, achana na KUOA kabisa ni dizasta
Acha kwanza tutakueleza badaeAiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu nipe sababu tatu
HahahaJiandae kuwa ukimsikidiza usiku wa manane, kwenye maombi ya uwepo wa roho mtaka... kwa baba wa kiroho,au kaka wa kiroho!