Mliooa mnastahili pongezi

Mliooa mnastahili pongezi

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,797
Reaction score
129,628
Habari za Jumapili,

Napenda kutoa pongezi kwa wanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi uhuru na mali zako kwa mtu ambae huna undugu nae. Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima.

Jumapili njema jamani, mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
 
nina miaka 50 ya kuzaliwa sijawaza kuoa labda hadi nifiki 60 ndio nitaharibu.
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom