Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
2016
_20170721_142007.JPG

Hakuna aliyepiga u-ey hapa.

Magu majuzi tu nimemchana kuhusu mimba za wanafunzi.

Na bado sijamaliza. Akichemsha sehemu bado nitamchana tu.

Hata wapinzani nao nitawachana tu.

Tatizo lenu kubwa ni kuwa na one-track mind.

Mnadhani ni lazima mtu awe mfuasi wa chama.

Wengine tumeukataa huo utumwa.

Kwa hiyo kama unadhani nimepiga u-ey basi pole sana.
2017
IMG_-9hfbuy.jpg

May Allah bless Me and You
 
Kwa iyo kwa hisia zako tungekua na chadema hali ingekua nzuri zaidi ya hii
 
Hakika kama wewe huoni anachokifanya Rais wa sasa, basi ulikuwa ni mfaidika wa mfumo uliokuwapo wa kifisadi.Ina maana wewe huoni kwamba utendaji wa srkl umebadilika na kuwa bora kuliko siku za nyuma? Au nikuulize swali dogo..Hivi hapo unapoishi umeme umekatika lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam umebadilika,imeongeza salary,imepandisha madaraja,imeshusha bei ya sukari,wagonjwa hawakosi dawa,elimu bora,imepunguza kununua mashangingi,na rushwa kwa sasa hakuna tena,
Juhudi tunaziona kabisakabisa,hata mahakamani inashinda kila keis inayopeleka,wanaoambiwa watapangiwa kaz nyingine hawalipwi mishahara

May Allah bless Me and You
 
Swali zuri ...hivi kati ya EL na JPM yupi Chadema ilitusaidia kumjua vizuri zaidi? In short Chadema ilifanikiwa sana kumbomoa EL na mwisho kushindwa hadi kupitia chama chao. Labda nikuulize ....hivi unamtemaje Dr Slaa miezi michache kabla ya uchaguzi (ingawa wengine watasema alitoka mwenyewe bila kujua steps). Tumevurugwa na Chadema sana ....kama akili zako zipo sawa unahitaji PHD ya kumuelewa EL ili kumpa kura badala ya JP ambaye humjui kivileee ...
Asee mkuu like zimejaa nilitaka nikuongeze nyingine. Big up sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
My Friend... Mr President is doing very well.... Nchi na Wananchi wake kwa ujumla inaelekea pazuri.... now hakuna mambo ya mjomba na watu wameanza kuwa na heshima na matumizi ya pesa na kuwa na hofu ya kufanya madili.... I honestly now regret why I voted for CHADEMA....
 
Nope.

Juzi tu hapa nimetoka kumchana kwa kauli yake ya kusema kwamba mabinti wanaopata mimba wakiwa shuleni ni marufuku kusoma shule za serikali.

Leo sikubaliani na polisi kwa kumkamata Tundu Lissu.

Sijaona kosa lake.

Lakini huyo huyo Tundu Lissu juzi hapa nimemchana. Kaongea maneno ya kipumbavu.

Upumbavu siyo kosa.

Sasa, kwa watu wenye akili duni hawawezi kunielewa.
Yawezekana akili yako ni ya genius, siwezi kubishia hilo. But one thing for sure, inarandana na ya magu.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
kumbe na wewe ni malaya kiasi hiki maana huna msimamo?
 
Wafuasi wa Chadema na wa ccm mna matatizo yanayofanana.

Inawezekana hata mimi humu mnanihesabu ni kamanda wakati si kweli kabisa, sijawahi kuwa Chadema na wala sifikirii hilo, ila ccm kamwe siwezi kuipigia kura labda siku iwe chama cha upinzani ijirekebishe kwanza na ituombe msamaha Watanzania kwa dhulma ilizotundea kwa miaka 50
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Binafsi naona mpaka sasa anafanya kama nilivyotarajia..So Im happy indeed.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Wewe ni Mnafiki sana.Jirekebishe,usidhani kuishi Marekani ndio tiketi ya kutukana Viongozi wa Tanzania.
 
Sasa baada ya vijana wa mitandaoni kuahidiwa chochote ukaamua kugeuka siyo ? Njaa inaua sana nguvu kazi ya Taifa .
 
Wewe ni Mnafiki sana.Jirekebishe,usidhani kuishi Marekani ndio tiketi ya kutukana Viongozi wa Tanzania.
Kama kuna Taifa hapa duniani lina watu wajinga kabisa basi watu hao wanapatikana Tanzania na wewe ni one of them.

Tuoneshe ni wapi Nyani Ngabu amewatukana hao viongozi wako?
 
My Friend... Mr President is doing very well.... Nchi na Wananchi wake kwa ujumla inaelekea pazuri.... now hakuna mambo ya mjomba na watu wameanza kuwa na heshima na matumizi ya pesa na kuwa na hofu ya kufanya madili.... I honestly now regret why I voted for CHADEMA....
Acha kumsingizia Mh Raisi. Ina maana haujui kama Doto James ni mjomba wake?
 
Back
Top Bottom