PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
jina lako linahakisi tabia yakoChadema mna tabia ya kuhongwa ndio maana fikra zenu ni rushwa tu
jina lako linahakisi tabia yakoChadema mna tabia ya kuhongwa ndio maana fikra zenu ni rushwa tu
Kweli technically sijui yuko wapi au kabadili IDHuyu nyani ngabu saizi alisha wekwa sawa. Ni sawa na mtu anaitwa Pasco mayalla. Hawatofautiani. Ivi technically yupo wapi
Nyani Ngabu, unalo. Nini kimekutokea? Kweki njaa haijawahi kumuacha mtu salama!
Nyani Ngabu
Huwezi kuwa vuguvugu hv. Siasa zina upande. Bongo chagua ccm ama upinzani using'ate na kupuliza
half balanced ass nigg*Nope.
Nothing done changed.
If he fucks up I'll tear him up.
If he does good I'll give him credit.
Same goes for the opposition.
I'm an equal opportunity basher. Something you and your ilk can't understand because you lack the requisite intellectual wherewithal.
akili duni ya kwako... mimi kusema kwamba huu uzi wa kitambo nimeshakuwa na akili duni....Hakuna makaburi hapo.
Msimamo bado ni uleule.
Nikuonyeshe mada zingine ambazo nimemchana Magufuli?
Nikuonyeshe pia ambazo nimemuunga mkono kwa sababu alichofanya nakikubali?
Tatizo ni huo uwezo wenu mdogo wa kiakili.
Hamuelewi kuwa mtu unaweza ukakubaliana na mtu kuhusu jambo fulani na ukatofautiana naye kuhusu jingine.
Kwenu, kwa sababu ya uduni wa akili zenu, mnadhani kuna mawili tu....kukubaliana kwa asilimia 100 na kutofautiana kwa asilimia 100.
Poleni.
Nyani Ngabu, inaelekea Mheshmiwa Magufuli amebadilika sana au wewe umebadilika sana maana sasa hivi unamchukulia kama role modelHaya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.
Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].
Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?
Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?
Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.
Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Rabidly biased little bitch.half balanced ass nigg*
Huna akili. Huwezi kuelewa.akili duni ya kwako... mimi kusema kwamba huu uzi wa kitambo nimeshakuwa na akili duni....
Nope.Nyani Ngabu, inaelekea Mheshmiwa Magufuli amebadilika sana au wewe umebadilika sana maana sasa hivi unamchukulia kama role model
Kabisaaa mkuu,Nyani Ngabu
Huwezi kuwa vuguvugu hv. Siasa zina upande. Bongo chagua ccm ama upinzani using'ate na kupuliza
calling names!!!!! ain't no neutral ones grandpa...i am done with you lukewarm!!!!!Rabidly biased little bitch.
calling names!!!!! ain't no neutral ones grandpa...i am done with you lukewarm!!!!!
do not quote this.
Ni mtazamo wako kama jina lilivyoSwali zuri ...hivi kati ya EL na JPM yupi Chadema ilitusaidia kumjua vizuri zaidi? In short Chadema ilifanikiwa sana kumbomoa EL na mwisho kushindwa hadi kupitia chama chao. Labda nikuulize ....hivi unamtemaje Dr Slaa miezi michache kabla ya uchaguzi (ingawa wengine watasema alitoka mwenyewe bila kujua steps). Tumevurugwa na Chadema sana ....kama akili zako zipo sawa unahitaji PHD ya kumuelewa EL ili kumpa kura badala ya JP ambaye humjui kivileee ...
Point of correction, ilikuwa million 8 dhidi ya million 6 baada ya kugeuza upside downAlipata kura milioni 8 dhidi ya milioni 4 za chadema!
Mkuu unaonekana una maono ya kiccm kiccmJPM ameshushwa kuja kuiokoa tz,piga picha lile Lowassa angekuwa president,wahuni wote wangekuwa serikalini,wapigaji wote serikalini,kapuku kama mimi ni wa kukojolea tu
Hivi lowasa aliwakosea nini mpaka mkashindwa kumpeleka mahakamaniMkuu mimi sio mwanachama wa cdm lakini ni shabiki wa kutupwa wa cdm, kama kuna kitu kilinisikitisha kwa cdm ni kumchuku EL siku za mwisho na kisha kumpa nafasi ya kugombea urais. Kama kuna kosa la mwaka cdm walifanya basi ni lile, ukijaribu kuangalia ujio wa Lowassa cdm ndio umekuwa anguko lake hivi leo. Kwa sasa hivi tumebaki sisi washabiki wabishi ndio wangalau tunapambana, cdm kama chama hakina ile amshaamsha kwani wamefundishwa siasa za kikondoo na huyo mamluki. Kibaya zaidi sasa hivi ccm wala hawatishwi na cdm kwani tunamtumia kapi lao kupambana nao. Leo hii mkuu wa ccm anafanya anavyotaka na hakuna wa kumhoji tumebaki tunapiga kelele huku mitandaoni lakini hatufurukuti, tumebakiza muda mchache hata huku mitandaoni tutapigwa stop. Cdm ndio kilikuwa cdm kinachoweza kuhoji serekali ikatekeleza, kumbuka mpaka mchakato wa katiba mpya ilikuwa ni nguvu ya cdm. Leo hii tunaambiwa eti katiba sio lazima nchi inanyooshwa!!! Huyo mamluki eti anasema tuache harakati tuwe wanasiasa wakati mwenyewe hathubutu hata kuitisha mkutano wa kupongeza waliompa kura. Huwa ninajiuliza kweli hivi tulikosa mgombea kabisa mpaka tukampa huyo jamaa? Leo hii kapewa nchi ambaye anaongooza nchi kama mali yake binafsi kisa hatuna ajenda ya kumuhoji chochote maana hata wananchi hawajui tunasimamia nini. Kuna huyo katibu mkuu kijana kuliko huyo Slaa japo naye Slaa aliondoka kwa kuzira, lakini huyo katibu mkuu ndio amekuwa mzee kimatendo na Slaa amekuwa ni kijana kuliko yeye. Mbowe hana ushawishi ule aliokuwa nao tena, sasa hivi kila kitu mpaka amuulize Lowassa!! Akina Lissu walifurukuta mwanzo lakini watanzania wakaitwa wanyonge wakakubali, sasa hivi kila mtu kabaki kuahidiwa maisha bora huko mbeleni kwani mifumo inawekwa sawa lakini hakuna kuhoji. Yaani sipati picha huku mkenge cdm walioingizwa wakati mwingine mpaka naona EL ni kama pandikizi la kuja kuia cdm.
Acha aongoze nchi Kama anavyofanya hayo machache mazuri (japo hujayataja).Hakuna mtu duniani nayeweza kumfrahisha kila mtu kwa kila kitu na hapajawahi kutokea mtu wa hivyo.Na ngetokea bado kuna watu wangelalamika tu.Aliyetangulia alitubatiza kwa maji mkamwita "dhaifu" mkadai mnataka anyebatiza kwa moto,Sasa mmepata naye mnamwita "dikteta". Binadamu hatuna wema wala shukrani.Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.
Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].
Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?
Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?
Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.
Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.