Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Uzuri mnafiki hawezi kujificha. Hata Mtume alishatufahamisha miaka zaidi ya 1,400 iliyopita
 
Acha kumsingizia Mh Raisi. Ina maana haujui kama Doto James ni mjomba wake?
Taarifa zinadokeza kwamba hii ishu ya Doto James ni kaa la moto huko ccm , noma ! Unaambiwa hata Mkapa yule mzee wa lugha chafu kapigwa ganzi !
 
Kwa iyo kwa hisia zako tungekua na chadema hali ingekua nzuri zaidi ya hii
Vijana wa kileo hata kupambanua mambo hawawez!Kwani 2015 kulikua na mgombea wa upinzani toka CDM tu?Mbona kulikua na Rungwe na mama ACT na walikua na hoja nzur hata kwenye midahalo walihudhuria.

May Allah bless Me and You
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Moja ya sababu, ni kuwa alijinadi vizuri kwenye kampeni zake wakati wa kuomba kura kwa wananchi.

Yule mpinzani wake alikuwa dhaifu jukwaani.
Alikuwa hajielezi vizuri.
Wakati mwingine alikuwa anajisahau na kutamka kuwa
tuipigie kura CCM.
Alikuwa anazungumza kwa mda mdogo kama dakika kumi au ishirini tu ktk jukwaa.
Afya yake haikuwa nzuri sana na ikaonekana hivyo.
Wakati mwenzake anahutubia mara tano au kumi katika vituo tofauti kama njiani, vijijini na vituoni kwa siku moja, yeye anahutubia mara moja tu kwa siku.
Kwa ujumla Magufuli alimshinda mpinzani wake mkuu kwa kila idara wakati wa kampeni ukiacha idara ya kupendwa na kujulikana na watu wengi.
Hii ilionekana kuwa Magufuli alikuwa na nguvu na uwezo wa kuongoza kuliko mpinzani wake.

Hizi ni baadhi sababu ya Magufuli kupata kura nyingi wakati wa uchaguzi uliomweka madaraka.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Ukweli bado haujabadilika 2018 na unazidi kujiweka bayana.
 
Ndo maana kura yangu ilienda kwa yule mama wa ACT.

I just couldn't bring myself to voting for either Magufuli or Lowassa.

And I don't think I'll ever vote for CCM in my lifetime.

Quoted Nyani Ngabu' s words from December 13,2016
 
Vijana wa kileo hata kupambanua mambo hawawez!Kwani 2015 kulikua na mgombea wa upinzani toka CDM tu?Mbona kulikua na Rungwe na mama ACT na walikua na hoja nzur hata kwenye midahalo walihudhuria.

May Allah bless Me and You
Ni kweli walikuwa na hoja nzuri LAKINI Magufuli alionekana kuwa na hoja nzuri zaidi kuliko hoja za Rungwe na mama wa ACT.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Mzee, hapa wali-hack account nini??? Au sasa hivi ndio wai-hack
 
Nyani gabu sasa japo kdg unaaza kusomeka , nahisi nawe umeanza kuona ukweli ulivyo kwa sasa.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
hapa ndugu uliruhusu mwenye akili atumie account yako kuandika haya madini au alivamia bila ruksa?
 
Back
Top Bottom