Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Daah ku.. m a.. maeeee mm nilimpigia huyu m..s..e..nge aki ya nan kama nikipata nafas nitawaomba radhi watanzania kwa kumpigia kura mtu mjinga kama yule mungu anisamehe kwa kumpigia kura muuaji
 
Uzuri mnafiki hawezi kujificha. Hata Mtume alishatufahamisha miaka zaidi ya 1,400 iliyopita

Nimecopy post namba 301 by Kinyungu
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Swali ni zuri, lakini chini ya katiba (1977) hii, ambayo ndio inatupatia tume hii ya uchaguzi, siamini kama jamaa alichaguliwa kihalali. Mizengwe ya uchaguzi uliopita wote tunaijua (kama mizengwe mikubwa zaidi inayoendelea sasa). Ingawa siku muunga mkono Lowassa pia katika uchaguzi wa 2015, najua mshindi halali angepatikana kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi.

Zaidi ya yote, swali ni zuri kwa wale baadhi waliokuwa wanaamini kwamba Magu ni "kiongozi makini." Binafsi, niliamini na naendelea kuamini kwamba nafasi ya uongozi iliyomstahili haikutakiwa kuvuka zaidi ya ubunge na uwaziri basi! Na si vinginevyo...

Madaraka aliyopewa na kikundi chake ni dhahiri sasa kwamba ni makubwa sana kulinganisha na busara na maarifa madogo sana aliyonayo...
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Kudadeki! ukali huu ulilipa baada ya kufika bei na kupiga about turn. Sasa hivi hata kin... cha jamaa anaita keki
 
Ni kweli walikuwa na hoja nzuri LAKINI Magufuli alionekana kuwa na hoja nzuri zaidi kuliko hoja za Rungwe na mama wa ACT.
Labda pushapu.
Ila hoja hakuwa nazo na kama anazo ameshindwa kuzitekeleza.
Kuna hoja zake nazikumbuka lakini zilikuwa ni KITUKO.
1.Serikali yangu haitakuwa na masuala ya matumetume ya uchunguzi-Hadi leo makinikia imekwama.
2.Sadam Hussein ni rais wa......
3.Watumish shida zenu nazijua,lro uhakiki unaenda mwaka wa 3
4.Nitaunda serikali ndogo-Leo hii kuna wizara zina manaibu na makatibu wakuu wawili na manaibu mawaziri wawili
5.Sheria ya manunuzi ni janga inasababisha tunaibiwa sana-Leo hii hatujui ndege zimenunuliwa kwa sheria gani?
6.Mafisadi wote wamehamia upinzani wamenikimbia-Bado akina Mtemi anashindwa hata kuwanyooshea kidole
7.Sitasafiri ili kuisafisha nchi na kuwadhibiti wezi-Mchakato wa PASSPORT umegubikwa na UFISADI
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Kamanda Nyani Ngabu wewe ni Popo
 
nchi ya majuha hii watu wanalalamika unaleta U CCM na U Chadema,kama mtu anakosea si aambiwe tuu ukweli,mfumo wa kibiashara ume collapse hali ya maisha mtaani inazid kuparaganyika ukihoji unaonekana wewe ni mpinzani
 
Huu unafiki ndiyo maana wanauwa vikongwe kule kanda ya ziwa alipotokea mleta mada. Huyu wangekwisha chinjia mbali.

Unafiki kama huu unatofautina vipi na uchawi?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Mkuu, tupe marejesho ya mabaya na mazuri. Yapi ni mengi zaidi kwa sasa.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.
Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].
Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?
Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?
Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.
Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Aisee,
Kaka unamaanisha eeee??
 
Back
Top Bottom