Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
MGoja NIqoute usije UKAEDIT.
 
Tupo kwenye hatari kubwa sana inaweza zidi ya Rwanda kama bashite & hawata tumia akili na kuwa wapole na kuomba msamaha wa Tanzania!!?
 
Tafadhalini wahusika akina bashite ombeni msamaha na mtafute suluhisho nineota ndoto mbaya sana wa Tanzania wamefikia pabaya pakutamani kula nyama za watu !!
Tafadhalini tafuteni suluhu tuishi kwa Amani kila mtu anaweza kosea na kusamehewa!!
 
Ndo maana kura yangu ilienda kwa yule mama wa ACT.

I just couldn't bring myself to voting for either Magufuli or Lowassa.

And I don't think I'll ever vote for CCM in my lifetime.
Kumbe shida yako siyo Magufuli bali ni CCM.
Mimi nilimpigia Magufuli na siyo CCM.
 
Kati ya wagombea wote waliogombea, Magufuli ndiye bora, hata taasisi yake (CCM) ndio ilikuwa yenye mapana Na marefu ya kuiongoza hii nchi!!
Sijutii kura yangu kumpa Magufuli
Safi sana
 
Ngoja niende Butiama kuhiji, kusali, na kumuomba Mungu kwenye kaburi la Baba Wa Taifa. Nikirudi nitaanika uozo wote. Nchi yangu Tanzania imepotoka. Tunakoenda siko.
Mkuu haujarudi tu kutoka Butiama?
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Vipi mkuu maswali hayo kwa Watanzania bado unawauliza hadi leo au ulibadili gia angani?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kigeugeu..... Ama kweli kuna watu na viatu...
 
Back
Top Bottom