Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Hakika kama wewe huoni anachokifanya Rais wa sasa, basi ulikuwa ni mfaidika wa mfumo uliokuwapo wa kifisadi.Ina maana wewe huoni kwamba utendaji wa srkl umebadilika na kuwa bora kuliko siku za nyuma? Au nikuulize swali dogo..Hivi hapo unapoishi umeme umekatika lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika kama wewe huoni anachokifanya Rais wa sasa, basi ulikuwa ni mfaidika wa mfumo uliokuwapo wa kifisadi.Ina maana wewe huoni kwamba utendaji wa srkl umebadilika na kuwa bora kuliko siku za nyuma? Au nikuulize swali dogo..Hivi hapo unapoishi umeme umekatika lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sukari huku alikuta 1500 ila Sasa 2300
 
Hivi lowasa aliwakosea nini mpaka mkashindwa kumpeleka mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi simpeleki Lowassa mahakamani kwani huo sio wajibu wangu. Ila ninachosema cdm kumpa mtu kama Lowassa nafasi ya kugombe urais kupitia cdm haikuwa sahihi na wala haitokaa iwe sahihi. Kwa maneno marahisi cdm haikucheza karata sahihi kwa nafasi ya pekee na muhimu kama ile kwani hakuna mfuasi wa cdm, wala hakuwa na mapenzi nayo bali aliitumia tu kutaka kupata madaraka ya urais.
 
Dah....mm huko USA umeambulia exposure ya kuandika slang za english tu ila sio ya ku handle reaction from the opposite side !

Unaabisha kaya kijana !

Wewe unapenda sana attention yangu eeh?

Unajitahidi sana nikuone.

Ngoja na hii ID niisweke kwa ignore list.

Teh teh teh.

Bye Felicia.....
 
kuna mteule nahisi vinasaba vyake havina asili ya jamii za wanaadamu waishio Tanzania..
wapo wanaosema vinasaba vile asili yake ni jamii ya binaadamu waliounda kikundi cha kihalifu kiitwacho Mungiki nchini Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani tunamzungumzia lowassa hapa. the whole story here is Nyani Ngabu's u turn. hahahahahahah

Hakuna aliyepiga u-ey hapa.

Magu majuzi tu nimemchana kuhusu mimba za wanafunzi.

Na bado sijamaliza. Akichemsha sehemu bado nitamchana tu.

Hata wapinzani nao nitawachana tu.

Tatizo lenu kubwa ni kuwa na one-track mind.

Mnadhani ni lazima mtu awe mfuasi wa chama.

Wengine tumeukataa huo utumwa.

Kwa hiyo kama unadhani nimepiga u-ey basi pole sana.
 
Back
Top Bottom