Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

Inakuwaje wanajamvi?

Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida.

Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare.

Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati anga limefunika na pupwe linapuliza.

Kumbukeni hili ni tukio la Kihistoria. Ilirekodiwa na waba anga wa zamani march 14 1200, na baada ya miaka 400 1600. Baada ya miaka 400 tena imetokea leo.

Wanajamvi please mlioko nyumbani Tokeni nje basi mtutumie mapicha ya Jupiter na sayari nayoipenda kuliko zote the gas giant Saturn. Naipenda Saturn kwasababu ya mwezi wake titan inawezekana kuna uhai kwenye iyo Saturn moon titan na labda ndio huko tuaenda tukifa.

Tukio kama hili la leo litatokea tena baada ya miaka 80 2080. Na baada ya hapo litatokea tena baada yya miaka 400 2400.

Ntafurahi sana mwanajamvi yeyote atakayeweka picga aliyopiga ya hizi sayari na nipo tayari kutoa zawadi.

God bless humanity
Hivi mleta mada unajua TENSES kweli?? Unaweza kweli kusema:
"Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana..."??!
Unaposema hivyo maana yake huo usiku umeshapita, muda huo ni leo. Utasemaje tena zitaonekana"? Rudi darasani.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mungu yupo wanaosema Mungu hayupo kina Kiranga wanakosea sana. Halafu nimejifunza kitu kipya leo Saturn na Jupiter ni gesi tu hamna ardhi ama solid ground kama Mars. Halafu Jupiter ina miezi 79 dah.

Ukija kwenye Saturn utofauti wake ni ile ring inayoizunguka na mwezi wake mmoja maarufu Titan
Hakuna sayari ambayo ni pure gas and omly dust tu bila compact and tangible materials.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni majina tu, wewe baki na neno moja Mungu, ndiye alieumba ulimwengu usioonekana na ulimwengu huu unaoonekana.
sio majina tu mkuu hao ni mungu tofauti tena wana bifu maana kuna mungu mmoja hapo hapendi wafuasi wa mungu mwingine na aliamuru wachinjwe...Sio hao tu Bado kuna Mungu wengine zaidi ya 5000

sasa ndo nlikuwa naulizia blaza kati ya hao ni yupi aliumba?
 
Ngoswe ndo nani kwani..??
ukifika form 3 utamsoma usihofu.

Unavyo wapo mwilini au nje ya mwili??
mwili gani?

Na Ili upate giza na baridi umeweka nini na nini vireact ..?
giza na baridi ni ukosefu wa mwanga na joto...Hivyo niliviumba kwanza kabla ya kila kitu
Umekuja kula sikukuu na kumpongeza magufuli...??
mara ya mwisho nlikuja miaka ya 600 nikakuta watu jangwani uko wanachinjana..Sasa hivi nimekuja nakuta lami na Barabara za hewani...Kongole kwa Magufuli.. tena
Aah...kumbee,aisee sikujua kabisaaa kama ile hatari hviiii
ndo ujue sasa
Unaitwaje??
unaitwa ulimwengu
 
ukifika form 3 utamsoma usihofu.

mwili gani?

giza na baridi ni ukosefu wa mwanga na joto...Hivyo niliviumba kwanza kabla ya kila kitu
mara ya mwisho nlikuja miaka ya 600 nikakuta watu jangwani uko wanachinjana..Sasa hivi nimekuja nakuta lami na Barabara za hewani...Kongole kwa Magufuli.. tena
ndo ujue sasa

unaitwa ulimwengu
😅😂...

Njoo nikufundishe kucheza draft mkuu..😃
 
sio majina tu mkuu hao ni mungu tofauti tena wana bifu maana kuna mungu mmoja hapo hapendi wafuasi wa mungu mwingine na aliamuru wachinjwe...Sio hao tu Bado kuna Mungu wengine zaidi ya 5000

sasa ndo nlikuwa naulizia blaza kati ya hao ni yupi aliumba?
Ok, unaweza kunitajia huyo mungu ambae hapendi wafuasi wa mungu mwingine?
 
Ni viumbe ila nilimaanisha viumbe hai...

Galaxy nazoumba ni sawa zingine ni zaidi au Chini lakini zinaendana na hii mnapokaa nyie binadam mnaiita milkyway....

Ninapoishi wewe Hupajui lakini njia ya kuelekea unapitia ukanda wa kati ya nyota ya Orion na Beteleguese...

Nani kasema nina wazazi?
....
Kwa binadam amri ni zilezile Survive and reproduce(Dont hinder other's survival or reproduction)

Kuhusu kufa niliweka pia hiyo Amri ili kuvitofautisha namimi viumbe Hai Vitazaliwa vitapambana kusurvive na kureproduce kisha vitazaa na kufa na vilivyozaliwa vitaendeleza Circle.

Mimi ndiyo mwanzo na mimi ndiyo mwisho hivyo kila unachokiona nilikiumba kina mwisho Hata Jua kila Siku linapotoa mwanga na Joto linachoma Hydrogen ipo siku itaisha...Kwahyo Siku ya mwisho ya maisha hapa Duniani naijua mimi.

Adhabu nitawapa viumbe wakaidi ya kuwachoma moto kisha kuwafanya wasiexist kabisa,,wale viumbe safi nitawapeleka sehemu nyingine Bora zaidi.

Halafu Tuheshimiane Mimi sijasema naitwa Mungu
Wewe ulijiexist vipi?

Kwanini uwaadhibu hao viumbe ulio viumba?

Kwanini iliweka upendeleo kwa baadhi ya hao viumbe wako?

Uliwaumba kwa faida gani hao viumbe?
 
Wewe ulijiexist vipi?
haya mambo ya mwanzo na mwisho mimi ndo nimeyatengeneza...sina mwanzo niko nje ya time maana mimi ndo niliitengeneza hiyo time
Kwanini uwaadhibu hao viumbe ulio viumba?
kwanini nishindwe kuadhibu viumbe wakaidi niliowaumba?yaani ni sawa umuulize mama kawanini umuadhibu mtoto uliemzaa?

Kwanini iliweka upendeleo kwa baadhi ya hao viumbe wako?
niliamua tu...na sipangiwi ni sawa na mconga masofa...anayo mazuri ya bei kubwa na mabaya ya bei ndogo sasa yale mabaya hayawezi kulalamika kwanini ulitutengeneza hivi...Ni maamuzi yangu

Uliwaumba kwa faida gani hao viumbe?
I was bored
 
haya mambo ya mwanzo na mwisho mimi ndo nimeyatengeneza...sina mwanzo niko nje ya time maana mimi ndo niliitengeneza hiyo time
kwanini nishindwe kuadhibu viumbe wakaidi niliowaumba?yaani ni sawa umuulize mama kawanini umuadhibu mtoto uliemzaa?

niliamua tu...na sipangiwi ni sawa na mconga masofa...anayo mazuri ya bei kubwa na mabaya ya bei ndogo sasa yale mabaya hayawezi kulalamika kwanini ulitutengeneza hivi...Ni maamuzi yangu

I was bored
Kwhayo majibu yako sina cha kukuuliza,nilicho kigundua nikama vile natwanga maji kwenye kinu

Endelea na sinema zako.
 
Acheni MUNGU aitwe MUNGU.
hayo matufe yanayoelewa huko angani kwa kweli Ni uumbaji wa PEKEE
 
Back
Top Bottom