Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 667
- 1,467
Magimba yote angani huwa na mtindo wa kuwaka kama utayatazama kutokea katika anga hewa ya magimba mengine au kama utakuwa katika uso wa gimba lolote lile
Chombo cha Cassini kilifanikiwa kupiga picha unayoiyona hapo chini ambapo tuliweza kuona kwa pamoja Mwezi na Dunia yetu vikiwa vinamuonekana wa kuwaka kwa mng'ao mkubwa sana kwaa umbali wa takribani 1.5 B km kutoka katika orbit ya saturn hadi duniani kwetu
Magimba mengi yanawaka kutokana na uwepo wa nyota nyingi angani ambazo huweza kutawanya mwanga na kugonga katika magimba hayo na magimba kuanza kureflect mianga yote katika anga hewa zake na kupelekea kuonekana zikiwa zinawaka kwa mng'ao mkubwa sana
2013 Chombo cha Cassini kilikuwa bado kinaendelea na mission yake kubwa ya kufanya utafiti katika sayari ya saturn na miezi yake mbalimbali ambapo kiliweza kuhudumu katika mission hiyo kwa zaidi ya miaka 20 kabla ya wanasayansi kuamua kukidumbukiza katika matabaka ya hewa ya sayari ya saturn ambapo kiliweza kuchanwa chanwa na hewa zilizokuwa korofi katika matabaka ya sayari hiyo
Moudyswema
Gerald