Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

Kati ya hvyo vyote kipi ulianza kuumba na kipi ulimalizia??

Mechanism gani unatumia kuendesha hvyo ulivyoviumba..??

Hv kati ya wewe na ulivyoviumba kipi kimeanza kuexist..??
Mechanism nayotumia kuendesha ni amri yangu...niliviamri viumbe vyangu vifate sheria mpaka leo vinafuata...Sheria kama dunia izunguke jua,mwezi uzunguke dunia,Bahari zitembee,miti ioteane,Viumbe hai vyote nilivipa amri mbili Survive and Reproduce.

Kwahyo kila kitu unachoona kinafanywa na kiumbe hai(Siasa,Dini,Uchumi,Elimu,Ndoa,Mahusiano nk. nk.) kinaangukia Survival and reproduction
Kinyume na hapo ujue ni ukaidi na mwisho wa siku nitakuja kuwaadhibu wanaoharibu Survival au reproduction yao/ya wenzao.
 
nimeanza na nyota nikamalizia na Sayari kisha viumbe..
Kwahyo katka uumbaji wako nyota na sayari sio viumbe..??
mpaka leo naendelea kuumba galaxy za mbali huko....Mimi
Galaxy gani unaendelea kuumba? Je,zinautofauti na galaxy zile za Samsung?
Na company/ makao yako yapo wapi?
Mimi nimexist kabla ya uumbaji wangu
Unamaanisha wewe na wazazi wako umeanza kuexist wewe kwanza??
-------------------------------------------------------------
yangu...niliviamri viumbe vyangu vifate sheria mpaka leo vinafuata
Kwa binadamu umeweka sheria gani??
Viumbe hai vyote nilivipa amri mbili Survive and Reproduce.
Mbona vinakufa...au amri uliisahau??
mwisho wa siku nitakuja kuwaadhibu wanaoharibu Survival au reproduction yao/ya wenzao
Mwisho wa siku gani...???
Adhabu gani utawaadhibu??

Kama utaweza kujibu kwa mtiririko huu Basi naomba ujibu hivi....sio unacomment mara mbilimbili.

Ila wewe si unajiita Mungu bila shaka utaweza..!!
 
Kama kwel una moyo wa kisukuma dam pekee basi jua wewe ndio mjinga ila Dunia nzima tunajua kua Kuna moyo wa Mapenzi ambao Hua unauma na pia Hua unafuraisha kama umepinga uwepo wa moyo wa Mapenz kwa binadam basi huwezi kukubal kua Kuna mungu
kwenye hyo dunia na mm nitoe, nimesoma anatomy and physiology ila moyo unaousema ww haupo!.. maumivu unayoyapata hua ni a burning like desire inayosababishwa na hormones!.. natamani kukuelezea vizuri zaidi kisayansi ila nnahofia kupoteza nguvu maana inaonekana uko tayari kubisha na si kunielewa.
 
Kwahyo katka uumbaji wako nyota na sayari sio viumbe..??

Galaxy gani unaendelea kuumba? Je,zinautofauti na galaxy zile za Samsung?
Na company/ makao yako yapo wapi?

Unamaanisha wewe na wazazi wako umeanza kuexist wewe kwanza??
-------------------------------------------------------------

Kwa binadamu umeweka sheria gani??

Mbona vinakufa...au amri uliisahau??

Mwisho wa siku gani...???
Adhabu gani utawaadhibu??

Kama utaweza kujibu kwa mtiririko huu Basi naomba ujibu hivi....sio unacomment mara mbilimbili.

Ila wewe si unajiita Mungu bila shaka utaweza..!!
Ni viumbe ila nilimaanisha viumbe hai...

Galaxy nazoumba ni sawa zingine ni zaidi au Chini lakini zinaendana na hii mnapokaa nyie binadam mnaiita milkyway....

Ninapoishi wewe Hupajui lakini njia ya kuelekea unapitia ukanda wa kati ya nyota ya Orion na Beteleguese...

Nani kasema nina wazazi?
....
Kwa binadam amri ni zilezile Survive and reproduce(Dont hinder other's survival or reproduction)

Kuhusu kufa niliweka pia hiyo Amri ili kuvitofautisha namimi viumbe Hai Vitazaliwa vitapambana kusurvive na kureproduce kisha vitazaa na kufa na vilivyozaliwa vitaendeleza Circle.

Mimi ndiyo mwanzo na mimi ndiyo mwisho hivyo kila unachokiona nilikiumba kina mwisho Hata Jua kila Siku linapotoa mwanga na Joto linachoma Hydrogen ipo siku itaisha...Kwahyo Siku ya mwisho ya maisha hapa Duniani naijua mimi.

Adhabu nitawapa viumbe wakaidi ya kuwachoma moto kisha kuwafanya wasiexist kabisa,,wale viumbe safi nitawapeleka sehemu nyingine Bora zaidi.

Halafu Tuheshimiane Mimi sijasema naitwa Mungu
 
Halafu Tuheshimiane Mimi sijasema naitwa Mungu
Kwani wewe Mungu unamjua??
Galaxy nazoumba ni sawa zingine ni zaidi au Chini lakini zinaendana na hii mnapokaa nyie binadam mnaiita milkyway...
Kwahyo wewe una viumbe vyako tofauti na hivi tulivyozungukwa navyo sisi binadamu??
Nani kasema nina wazazi?
Wazazi wako wapo wapi..??
Mimi ndiyo mwanzo na mimi ndiyo mwisho hivyo kila unachokiona nilikiumba kina mwisho Hata Jua kila Siku linapotoa mwanga na Joto linachoma Hydrogen ipo siku itaisha...Kwahyo Siku ya mwisho ya maisha hapa Duniani naijua mimi.
Kwahyo wewe ni Mwenyezi Mungu ??

Kumbe jua linachoma hydrogen??
Ninapoishi wewe Hupajui lakini njia ya kuelekea unapitia ukanda wa kati ya nyota ya Orion na Beteleguese...
😅😂 KWA hyo uko nako kuna jf..??

Adhabu nitawapa viumbe wakaidi ya kuwachoma moto kisha kuwafanya wasiexist kabisa,,wale viumbe safi nitawapeleka sehemu nyingine Bora zaidi
Umeshawachoma wangapi makaidi..??
Sehemu gani hyo bora..??

NB:-
MWANZO WA KUJITAMBUA MWANADAM NDO MWANZO WA KUUTAMBUA ULIMWENGU..
 
Kwani wewe Mungu unamjua??
Mungu namjua kama wewe unavomjua Ngoswe wa kwenye penzi kitovu cha uzembe.
Kwahyo wewe una viumbe vyako tofauti na hivi tulivyozungukwa navyo sisi binadamu??
Viumbe ninavyo vingi au ulidhani ulimwengu wote mko peke yenu?
Wazazi wako wapo wapi..??
Nani kakuambia nina wazazi?
Kwahyo wewe ni Mwenyezi Mungu ??
Mzee mimi siitwi Mungu wala mwenyezi Mungu
Kumbe jua linachoma hydrogen??
Yes ili upate mwanga na joto kuna Hydrogen nimeiweka na inareact kutoa Energy ambayo ni mwanga na Joto(H+H+H+H=He+Energy)
😅😂 KWA hyo uko nako kuna jf..??
Kwasasa nimekuja kutembea kwanza huku duniani.

Umeshawachoma wangapi makaidi..??
Makaidi nitawachoma siku ya mwisho
Sehemu gani hyo bora..??

NB:-
MWANZO WA KUJITAMBUA MWANADAM NDO MWANZO WA KUUTAMBUA ULIMWENGU..
Iko nje ya Ulimwengu Huu..Kuna ulimwengu mwingine ambao ni bora zaidi ya Huu
 
Mungu namjua kama wewe unavomjua Ngoswe wa kwenye penzi kitovu cha uzembe.
Ngoswe ndo nani kwani..??
Viumbe ninavyo vingi au ulidhani ulimwengu wote mko peke yenu?
Unavyo wapo mwilini au nje ya mwili??
Yes ili upate mwanga na joto kuna Hydrogen nimeiweka na inareact kutoa Energy ambayo ni mwanga na Joto(H+H+H+H=He+Energy)
Na Ili upate giza na baridi umeweka nini na nini vireact ..?
Kwasasa nimekuja kutembea kwanza huku duniani
Umekuja kula sikukuu na kumpongeza magufuli...??
Makaidi nitawachoma siku ya mwisho
Aah...kumbee,aisee sikujua kabisaaa kama ile hatari hviiii
Iko nje ya Ulimwengu Huu..Kuna ulimwengu mwingine ambao ni bora zaidi ya Huu
Unaitwaje??
 
Thibitisha Mungu kaumba ulimwengu.

Hapo juu umepiga hadithi tu. Hujathibitisha chochote.
Nimeshakuthibitishia tayari kwamba Mungu ameumba ulimwengu huu unaonekana kwa macho na usioonekana kwa macho. Na nimekupa mifano ya vitu alivyoumba.
 
Back
Top Bottom