Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

Status
Not open for further replies.
Mleta maada sidhani kama anamaanisha prof J, kutKuwa na kiongozi mwingine
Yawezekana Wewe ndiyo ukawa very Intelligent kuliko Wapuuzi wote waliokurupuka wakidhani namsema huyo Mtu wao ambaye hata nami pia kama Binadamu na ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu ninamuombea pia aweze Kupona na Kurejea katika hali yake ya Kawaida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom