herio
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,080
- 3,922
Anakuona malaya mbwaa weeeNajua hilo kuna kipindi nilipuuza tuu. Ila si unajua yule ni mtoto wangu, sasa mahusiano naye yamekufa kabisa kwa sasa.
Nawaza sana sijui ananionaje mimi mama yake.
Anakuona malaya mbwaa weeeNajua hilo kuna kipindi nilipuuza tuu. Ila si unajua yule ni mtoto wangu, sasa mahusiano naye yamekufa kabisa kwa sasa.
Nawaza sana sijui ananionaje mimi mama yake.
Inategemea na standard za familia yao.Zee la miaka 26 linafanya nini nyumbani?
Nimekosoma mkuu. Kweli kiafrika kwa mtoto wa kiume kugundua mama yake anachepuka ni kitu kitamtafuna sana. Kumfahamu hawara wa mama ni kitu kibaya. Huyo jomba kumkuta mama yake anataka kuliwa mzigo ni doa kwenye maishaInategemea na standard za familia yao.
Kama wana jengo la kisasa lina suites za kutosha na lipo town kwanini aondoke?
Kumbuka hatujui kama bado anakaa home, tukio kaliona akiwa teenager, kapewa gari unaskia after 2 weeks karudisha. Chalii ni mwanaume wa shoka.
Kavumilia mengi kumuona tu bi mkubwa mapaja ndani ndani ni kalaana kiafrika, sasa umeona kajilegeza anashikwa analia ahsiii aiii bebi, na baba anaitwa bebi.
Mpaka unakaa sometimes unawaza dah dingi yangu ni fala, mama yangu kafanya ukaha** hii haina athari kiroho siku za mbele.
Ukute mijamaa inayokataa mwanamke kuendelea na kazi baada ya kuolewa waliona movie kama hii vividly kwa familia.
Kuna wanawake wapumbavu mno. Wewe ukiwemo
Huu ni unyanyasajiSisi watoto wakiume hatupendi kuwa na Baba wawili, ila kuwa na Mama wawili haitumii.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app