Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

Babu sie wajukuu mgao wetu ukwapi kwenye hiyo 10 uipatayo

Kabisa.
Mtu akikuambia nyumba yake + kiwanja ni 100 mill. Wala usimshangae.

Ila hii isiwakatishe tamaa vijana.
Maana gar wekea miaka 2.
kujenga wekea kutumia miaka 5.
Kiwanja kununua wekea miaka 2.
Kuoa wekea mwaka 1.

So ukianza kujitafuta na miaka 25.
Ukifika na miaka 35.

Una kwako , mke + watoto na ka ist kako.

Maisja ya kawaida kabisa. Tena ya hapa mjini.

Unaweza ukawah au kuchelewa kwa sababu kadhaa.
Ila malengo yawe hapo kama mwanaume.
 
Mimi ndiyo nimeanza kutenga Bajeti ya kwenda Likizo tangu Mwaka juzi

Walau naenda kutumia tumia kidogo ninachopata badala ya kutumia chote kwenye masuala ya Ujenzi 🙌
Babu kwenye ako kalikizo nichukue mm niwe nakuongoza njia zakupita😊
 
Mimi milioni 5 ilienda kwenye foundation tu, ndio maana hapa nawasoma wadau kwa utulivu mno
Nadhani hutegemea na kiwanja kipo ktk hali gani. Kama slope kubwa inafika mil 5 na zaidi. Kama tambarale nyumba ya kawaida ya vyumba vi3 sebule jiko inafika mil 4
 
Kabisa.
Mtu akikuambia nyumba yake + kiwanja ni 100 mill. Wala usimshangae.

Ila hii isiwakatishe tamaa vijana.
Maana gar wekea miaka 2.
kujenga wekea kutumia miaka 5.
Kiwanja kununua wekea miaka 2.
Kuoa wekea mwaka 1.

So ukianza kujitafuta na miaka 25.
Ukifika na miaka 35.

Una kwako , mke + watoto na ka ist kako.

Maisja ya kawaida kabisa. Tena ya hapa mjini.

Unaweza ukawah au kuchelewa kwa sababu kadhaa.
Ila malengo yawe hapo kama mwanaume.
Hesabu zako zimekaa vziuri sana, mengine ni mipango ya mungu.
 
Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Pole..😂😂
 
Milioni 11 nimejenga vyumba viwili 11 kwa 11 sebule kubwa 12*12 bila kusahau vyoo viwili vya ndani na jiko kubwa 6*6 .
Milango, madirisha ila sijagrill na nishahamia kibishi.
Nb. Nimeijenga nyumba hiyo Dodoma 2024.
Nashangaa m10 umejengaje vyumba viwili
Mkuu raman tuione nipenda gharam. ina maana mm nikiwa na 20milion na kiwwnja kipo tayar naweza maliza ila niko Dar Goba
 
Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Screenshot_20250802-222156_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom