Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

Kweli huna akili sio kila mtu anashobokea dar uko dar dodoma nina viwanja ila acha nianze kujenga home kwanza nayajua maisha yangu kuliko huo mtazamo wako
Kama una viwanja huko ulipotaja basi una akili🤣
 
Mnaooshangaa kujenga 10m vyumba viwili mnadhani kila mtu kajenga lindi? Ujenzi unatofautiana gharama kulingana na sehemu na sehemu kuna sababu nyingi zinazofanya hiyo tofauti.

Unaejenga sehemu flat na anaejenga eneo lenye mwinuko hamuwezi fanana gharama nk nk nk....

Hapo ulipofikia umejitahidi bro pambana.
 
Babu kwenye ako kalikizo nichukue mm niwe nakuongoza njia zakupita😊
Utakuwa umefanya jambo zuri kuniongoza Babu yako

Likizo yangu ya Mwezi December Mwaka Jana, ilibaki kidogo nipotee hotel niliyofikia

Isingekuwa kuiuliza gugo, mngeona Tangazo hapa nikitafutwa kwa kupotea 🤗
 
Utakuwa umefanya jambo zuri kuniongoza Babu yako

Likizo yangu ya Mwezi December Mwaka Jana, ilibaki kidogo nipotee hotel niliyofikia

Isingekuwa kuiuliza gugo, mngeona Tangazo hapa nikitafutwa kwa kupotea 🤗
Usijal ya mwaka huu utakua na mm mjukuu wako kipenzi😊🥰 hautapotea na wala hakuna atakaye kusumbua😎
 
Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Kujenga sio kazi kazi kununua Gari ya ndoto Yako namana ukiagiza au kwenda shop kununua kama ni MILION 25 inahitajika Yote sio kujenga unafanya mishe unapata MILION 3 unainua msingi pole pole mwaka mmoja au miwili unamaliza sema ununue gari uone
 
Back
Top Bottom