Lakini ni kanyumba😅hahaha ka hivi hapana
Nakwambia😇😇Pambeee 🤗
UremboUmeongeza gharama kwa haka ka nguzo
Na milango ipo miwili boss.Vyako wewe Milan go nje
Boss umepigwa sana kama kweli umetumia kiasi hicho Cha fedhanimejenga bukoba mjini
DuuhKwaning una
Unasema nimepingwa zingatia tofali la block bukoba ni tsh 1600 cement ni sh 26,000 mfuko
Hata hapo ulipofikia sio mchezo man!!''''''sometimes, pikipiki inakupitisha sehemu ambayo basi halipiti!! <hongera sana!!Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Umejitahidi kijana, hamia hivyo hivyo, utaweka milango baadae.Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Kila kitu na matumizi yake, kLuger huwezi tumia kama nyumba na nyumba huwezi tumia kama kluger.Kuna nyumba hapa jirani, milangoni na madirishani kuna mavyuma tu. Matofali yako uchii (haijapigwa plaster). Ukiangalia kibaraza kina zege tu (dalili ya kuwa ndani kuko na zege pia). Kila nipitapo jioni ama usiku nikirudi home nakuta nje imepaki Klugger namba E. Huwa nacheka tu!
Moyoni najisema, mwamba alipunguza hela akabeba Klugger akiamini iliyobaki itamtosha kwenye ujenzi!
Mkuu imekula trip ngapi za maweujenzi wa dar na mkoani ni tofauti kidogo dar viwanja vingi tambarale na materials ni very cheap ukilinganisha na mkoani
😂😂😂😂Kuna nyumba hapa jirani, milangoni na madirishani kuna mavyuma tu. Matofali yako uchii (haijapigwa plaster). Ukiangalia kibaraza kina zege tu (dalili ya kuwa ndani kuko na zege pia). Kila nipitapo jioni ama usiku nikirudi home nakuta nje imepaki Klugger namba E. Huwa nacheka tu!
Moyoni najisema, mwamba alipunguza hela akabeba Klugger akiamini iliyobaki itamtosha kwenye ujenzi!