Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,619
- 1,924
Na bado ili ufikie finishing na kuishi unatakiwa uwe na si chini ya millioni 30 hadi 50 inatagemea finishing yako unafanya ya mtindo ganiZamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu