Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Marahabaa

Kama unavyooipokeaaq marahqbq yangu Mungu akuangaxie ukajenge bila shidaa n Jesus Nemuuuu
 
Kujenga sio kazi kazi kununua Gari ya ndoto Yako namana ukiagiza au kwenda shop kununua kama ni MILION 25 inahitajika Yote sio kujenga unafanya mishe unapata MILION 3 unainua msingi pole pole mwaka mmoja au miwili unamaliza sema ununue gari uone
Me naona kununua gari kuna umuhim mkubwa kuliko kujenga nyumba kwa maisha ya kijana wa sasa
 
Kwenye haya maisha watu watiwa hofu huwa kila stage ila inawezekana
Mfano ukiwa mdogo unaambiwa na walimu darasa la nne hutoboi...ukitoboa unaambiwa la saba ndio komesha, then form two, four, six, chuo, bachelor, master, phd etc
Same maishani, unaambiwa kujenga ndio miziki ila watu wanajenga mgorofa na magorofa.. Ila mwingine anajenga room mbili anakuambia million 50, ili mradi tu uogope
 
Btw, Mleta mada hapo ulipofikia ni pazuri, pambana utafute not less than 3m urekebishe vitu uhamie
 
Btw, Mleta mada hapo ulipofikia ni pazuri, pambana utafute not less than 3m urekebishe vitu uhamie
Ivi kwa uzoefu aako milion 3 inaweza fanya finishing ya kwa ida ya vhumba na sebule ambayo inahitaji kila kitu kasoro tiles tu iko dar sehem ambayo vifaa vya finishing vina afadhali ya bei
 
Ivi kwa uzoefu aako milion 3 inaweza fanya finishing ya kwa ida ya vhumba na sebule ambayo inahitaji kila kitu kasoro tiles tu iko dar sehem ambayo vifaa vya finishing vina afadhali ya bei
Ukubwa wa chumba na ukubwa wa sebule ni gani
 
Kila chumba kimoja cha 10* 10 ni tsh 1.5m bila finishing na milango unaweka plus grili
 
Kila chumba kimoja cha 10* 10 ni tsh 1.5m bila finishing na milango unaweka plus grili
 
Nyashi ya 10-15k pale kitambaa ni tofali ngap? Fanya cross mataptap apo chap
 
Kuna mahali umefuja Hela zako Hilo jambo haiwezekani kabisa
 
jenga kadri ya uwezo wako. kuna wale ambao hujenga bangaloo, wanapigana nalo mwisho wa siku, wanakuja kulimalizia wajukuu kwa aibu.
 
Back
Top Bottom