Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,013
- 110,614
Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Nyumba nyingi za town, hii pesa ni gharama ya msingi tu...