Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

Mbona hamsemi kinachosemwaga huko au ndio kufundishana kuwapikia wanaume zenu limbwata eti......?

HAMSEMI sababu hakuna kitu special huko,ambacho hamjawahi kusikia,lol,mnabaki kusema ni siri,siri gani iliyopo mnayoshindwa kushare hapa JF na wakati watu tuko hapa JF ki anonymous?

Becky...mambo?

Leo uko poa? Uko sober?
 
Habari wakuu,

Naandika hapa nikiwa na shauku ya kujua mafundisho ya unyago.

Naamini kuwa kuna wanawake wapo hapa JF walibahatika kupata mafunzo hayo.

Jamani tusaidieni na sisi tujue mafunzo hayo ili tuweze pia kudumu kwenye ndoa zetu na kuishi na jamii nzima kwa ujumla.

Kitendo cha wasichana wa siku hizi kukosa mafunzo hayo kimekuwa ni chanzo kikubwa cha ndoa nyingi kuvunjika.

Tusaidieni!
Dona za siku?,usikonde mimi nina njia zangu za kufundisha unyago kina dada tena bure bila malipo,hebu nitumie maswali yako faragha ili tuanze somo loa kwanza A,then wewe mwenyewe utaamini elimu ni bahari,karibu mamii wala usione uzito,amua sasa hivi ili upate elimu ya maisha na mapenzi ili kuweka ladha katia ninihii.
 
Dah nimepitia post zawanawake, namajibu yao yote yanaonesha asilimia kubwa wamepitia unyago
 
Mdada mmoja mzaramo alienda akiwa na miaka 20 Anasema hakuambiwa chochote kipya yote aliyoambiwa alikuwa tayari anajua sasa inawezekana unachotaka kujua Unajua tayari Labda Unataka mtu arudie. Kipya ni kunyoa na majivu, for what wakati Huu.
Hebu toa somo baby,kunyowa na majivu kivipi tena?unataka nyapu zilipuke au? basi fire extinguishe lazima iwe karibu kabla kupakaa nyapu na majivu.
 
Mbona hamsemi kinachosemwaga huko au ndio kufundishana kuwapikia wanaume zenu limbwata eti......?

HAMSEMI sababu hakuna kitu special huko,ambacho hamjawahi kusikia,lol,mnabaki kusema ni siri,siri gani iliyopo mnayoshindwa kushare hapa JF na wakati watu tuko hapa JF ki anonymous?
Kifupi ni kwamba mwali aliye alikwa huwa ana adabu aibu na mstaarabu ukiona hasemi hapa jua huyo amefundwa sio msungo na anaweza imudu ndoa yake bila kutoa hata siri moja ya maisha yake na mumewe, na ndio sababu hatusemi nendeni mkafundwe.
 
Hebu toa somo baby,kunyowa na majivu kivipi tena?unataka nyapu zilipuke au? basi fire extinguishe lazima iwe karibu kabla kupakaa nyapu na majivu.
[emoji3] [emoji3] aisee kweli unyago ni mzuri
 
Kifupi ni kwamba mwali aliye alikwa huwa ana adabu aibu na mstaarabu ukiona hasemi hapa jua huyo amefundwa sio msungo na anaweza imudu ndoa yake bila kutoa hata siri moja ya maisha yake na mumewe, na ndio sababu hatusemi nendeni mkafundwe.

haya mkuu,ila mimi na wewe tunajua hakuna jipya huko ambalo hujalisikia,ila hii nayo itabaki kuwa siri kati yangu na wewe,na usimwambie mtu maana utakuwa umevunja miiko,lol.
 
Back
Top Bottom