LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kifupi ni kwamba mwali aliye alikwa huwa ana adabu aibu na mstaarabu ukiona hasemi hapa jua huyo amefundwa sio msungo na anaweza imudu ndoa yake bila kutoa hata siri moja ya maisha yake na mumewe, na ndio sababu hatusemi nendeni mkafundwe.