_aysher
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,131
- 943
Haswa anakua mwali kigego, sio mwali mwalikwa.[emoji8] [emoji8]Labda uwe mwali kigego ndio utatoa siri za 'mkoleni'! Unaanzaaje kuyaanika ya unyagoni hapa JF!!
Haswa anakua mwali kigego, sio mwali mwalikwa.[emoji8] [emoji8]Labda uwe mwali kigego ndio utatoa siri za 'mkoleni'! Unaanzaaje kuyaanika ya unyagoni hapa JF!!
Leo hamuambulii kitu hapa, endeleeni kukodoa mimacho.Acheni uchono wanawake wa JF, msituogope Wanaume tutafunga macho, pia hatutafungua huu uzi nyie endleeni na somo[emoji2] [emoji85]
Mdada mmoja mzaramo alienda akiwa na miaka 20 Anasema hakuambiwa chochote kipya yote aliyoambiwa alikuwa tayari anajua sasa inawezekana unachotaka kujua Unajua tayari Labda Unataka mtu arudie. Kipya ni kunyoa na majivu, for what wakati Huu.Habari wakuu,
Naandika hapa nikiwa na shauku ya kujua mafundisho ya unyago.
Naamini kuwa kuna wanawake wapo hapa JF walibahatika kupata mafunzo hayo.
Jamani tusaidieni na sisi tujue mafunzo hayo ili tuweze pia kudumu kwenye ndoa zetu na kuishi na jamii nzima kwa ujumla.
Kitendo cha wasichana wa siku hizi kukosa mafunzo hayo kimekuwa ni chanzo kikubwa cha ndoa nyingi kuvunjika.
Tusaidieni!
Vipi kuna kutiwa dudu nin???Labda uwe mwali kigego ndio utatoa siri za 'mkoleni'! Unaanzaaje kuyaanika ya unyagoni hapa JF!!
Primitive thinking zinatuharibu sana mkuu...Hizo jando na unyago ni upuuzi mtupu, hata kitchen part pia.
Wakufunzi wa hizo taka ndo maharamia wakubwa wa maadili kwenye jamii.
Ni wakati wa kuongeza masomo ya sociology kwenye syllabus ili kuimarisha social interaction & interpersonal skills.
si ndio siku hizi ni kitchen party!!
Ushapitiaga huko ww[emoji1]kwenye unyago ni siri ya ndani haitolewi nje ukitaka nawewe nenda unyagoni
Kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wakeVipi kuna kutiwa dudu nin???
ni wapi huko sie tulozaliwa barabara ya saba kwa ma fatu mpika vitumbua hayo.tunayasikia tuWapo makungwi mbona Hela yako tu kwanzia 50,000/= wanakufunda unafundika.
Mathayo ngap ngap???Kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake
Kitchen party ya siku hizi ni kutunzana vyombo tu,ndio maana hata wasio olewa navijibinti vidogoo vinaingia tusi ndio siku hizi ni kitchen party!!
Hebu toka hapa ......Hizo jando na unyago ni upuuzi mtupu, hata kitchen part pia.
Wakufunzi wa hizo taka ndo maharamia wakubwa wa maadili kwenye jamii.
Ni wakati wa kuongeza masomo ya sociology kwenye syllabus ili kuimarisha social interaction & interpersonal skills.
Wapo sehemu zote inategeme wewe upo wapi, kama dar rahisi magomeni wamejaa tele.ni wapi huko sie tulozaliwa barabara ya saba kwa ma fatu mpika vitumbua hayo.tunayasikia tu
Hicho cha kunyoa na mavuzi tu ndio unachojua wewe,hovyooMdada mmoja mzaramo alienda akiwa na miaka 20 Anasema hakuambiwa chochote kipya yote aliyoambiwa alikuwa tayari anajua sasa inawezekana unachotaka kujua Unajua tayari Labda Unataka mtu arudie. Kipya ni kunyoa na majivu, for what wakati Huu.
Bila shaka wewe ni muhanga wa hayo makitu.Hebu toka hapa ......