Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

Nilichoelewa hapa ! Wanawake wengi wa humu Jf hawajafundwa..

Wengi watoto wa mjini tuu hapa..hayo mambo wanasikia magazetini tuu...

Wengi wanasema siri..lakini ni hakuna kitu kichwani..! Siri gani hapa JF? Nini hakijaandikwa hapa JF?

Mleta mada usitegemee msaada wowote toka kwa wanawake wenzio..cause you are all running on the same lane..

Hawajui kama wewe tuu..! [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Tufundishe hapa JF wote wasiojua wajue..kwanini mambo hayo yafichwe...hebu mwageni mchele kwenye kuku wengi...
Daah hapa nitakua nimekiuka maadili ya unyago,maana watu wanaweza kujikuta wanapata mfazaiko wa akili wakajikuta wanajikuna nanihii.
 
Nilichoelewa hapa ! Wanawake wengi wa humu Jf hawajafundwa..

Wengi watoto wa mjini tuu hapa..hayo mambo wanasikia magazetini tuu...

Wengi nasema siri..lakini ni hakuna kitu kichwani..! Siri gani hapa JF? Nini hakijaandikwa hapa JF?

Mleta mada usitegemee msaada wowote toka kwa wanawake wenzio..cause you are running on the same lane..

Hawajui kana wewe tuu..! [emoji41][emoji41][emoji41]
Ooyaweee! Hatusemi hata kwa dawa.
 
Habari wakuu,

Naandika hapa nikiwa na shauku ya kujua mafundisho ya unyago.

Naamini kuwa kuna wanawake wapo hapa JF walibahatika kupata mafunzo hayo.

Jamani tusaidieni na sisi tujue mafunzo hayo ili tuweze pia kudumu kwenye ndoa zetu na kuishi na jamii nzima kwa ujumla.

Kitendo cha wasichana wa siku hizi kukosa mafunzo hayo kimekuwa ni chanzo kikubwa cha ndoa nyingi kuvunjika.

Tusaidieni!

Mwaego ngoja nikuibie machache [emoji87][emoji87][emoji14][emoji41]
 
Kwanza chunga mdomo wako unapoongea na Watu ! Fikiri Kabla ya kunena!
 
Tatu: kuchoresha udhaifu wa Mpenzi wako ni kujiabisha Wewe mwenyewe! Utaonekana Mdongwe/Msungo
 
Hizo jando na unyago ni upuuzi mtupu, hata kitchen part pia.

Wakufunzi wa hizo taka ndo maharamia wakubwa wa maadili kwenye jamii.

Ni wakati wa kuongeza masomo ya sociology kwenye syllabus ili kuimarisha social interaction & interpersonal skills.
Aisee, Huu ndio 'mpotoko' wa kufungia mwaka.
 
Halafu kingine jitahidi kuwa penda ndugu zake bila ubaguzi wowote Ile kusema eti nimeolewa na mmoja binafsi naona siyo sahihi
 
Hizo jando na unyago ni upuuzi mtupu, hata kitchen part pia.

Wakufunzi wa hizo taka ndo maharamia wakubwa wa maadili kwenye jamii.

Ni wakati wa kuongeza masomo ya sociology kwenye syllabus ili kuimarisha social interaction & interpersonal skills.
Mkuu una kakitu Kanaitwa mental slavery... Naona kameshakuingia..

Jando na Unyago ni hatua za maendeleo ya kijamii ambazo zililenga kuandaa vijana kwa ajili ya kuchukua majukum katka jamii... Na tamaduni hizi zilijaa maarifa ya ndani ambayo yalikuwa chimbuko ya utashi wetu wenyew katika kukabiliana na mazingira yetu..

Sikatai tamaduni hizo zilikuwa na changamoto zake lakini pia zilikuwa na ubora wake
Kwahivyo kulikuwa na haja ya kuboresha maarifa hayo kwa kuacha yale yasofaa na kuingiza yale yafaayo..

Kuliko kukumbatia maarifa ambayo c ya kwetu..
Na hayo tunayoona ni bora toka kwa wenzetu.. Yameboreshwa kutoka mda hadi mda mpaka hapo yalipo leo..
Japo hayana nguvu ya kutosha kuleta Athari kubwa kwa vijana wetu..

Moja ya vitu ninavyoamin Kama Jando na Unyago vingeendelea kuwepo.. Ushoga na usagaji visingekuwa tishio Kweny jamii zetu leo
1483205549303.jpg


Hawa wadada ni wasomi wakubwa lakini sociology zao zmeshdwa kuwapa Athari chanya kwa jamii zao za kiafrika..
C mfano mzuri wa kuigwa
 
Waliokwenda unyago wote wamekula kiapo mbele ya jopo la makungwi kutotoa siri za unyango wasije wakawa wari viwanga
 
Back
Top Bottom