Mlioenda kufanya interview Viettel(Vietnam telecommunication) leo!!

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Habari zenu washikadau,

Tunaomba wale mlioenda kufanya usaili wa kampuni ya viettel mtupe feedback kuhusiana na mtihani wa leo unafananaje mana sisi wengine jana tulikuwa tunaona nyota nyota mle ndani.Hasa ile section ya IQ test

Asanteni
 
Ungeanza kueleza wewe mtihani wa jana ulikuwaje then na wadau wengine watatiririka.
 
Hakuna sehemu rahisi katika interview kama sehemu ya kupima kiwango cha ufikiri 'IQ'...

Kwani vijana hayo maswali mliokuwa mnapewa ugumu wake u wapi?
 
Wewe umefanya interview na hawa jamaa ? au ilimradi uonekane umeongea kwenye hii thread ? kama hujaitwa kaa kimya
 
We stress zako za kukosa kazi ziishie huko huko nje ya JF?

Nimeuliza swali, jibu swali...kama huwezi kujibu tuliza kipwinto wenzako wakusaidie
 
Yani kwa taarifa zako me niko kazini... Unadhani kwamba wanaotafuta kazi wote hawana kazi?
 
Nawaonea huruma hao waajiri wako ambao wana mfanyakazi ambaye maswali ya IQ yanamtoa kamasi...

Bila shaka ninyi ndio wale wa vi-memo....
 
Mtu ana kazi,

halafu tena anatafuta kazi!

Kweli ni kazi mpaka kuwa na kazi!
 
Hawa madogo wamepewa Aptitude Test ili kupimwa logical reasoning...

Ni common sana kwa interview za intl companies au hata recruiting agencies za nje mathalani Radar Recruitment...

flydamnit-mas-psychometric-iqtest.gif

Sasa kama hapa unaulizwa swali gani mkuu?
 
Ni umbo gani linalofuata katika mlolongo wa maumbo hayo yaliyopo upande wa kushoto...

Jibu unachagua kutoka maumbo ya upande wa kulia A,B, C, D au E
 
Kama ulikuwa kwenye interview na kuna maswali yamekushinda ni vyema ukaweka hapa JF ili ujifunze
na pia wengine wapate faida.
 
Watanzania wengi wao ni mambulula, wavivu sana, wana IQ ndogo, kupenda kudesa na wanapenda pesa kuliko maarifa....fullstop
 
Back
Top Bottom