Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,431
- 2,210
me nilipata iq 60 na it 75 sijui ntapita?
Hakuna sehemu rahisi katika interview kama sehemu ya kupima kiwango cha ufikiri 'IQ'...
Kwani vijana hayo maswali mliokuwa mnapewa ugumu wake u wapi?
me nilipata iq 60 na it 75 sijui ntapita?
Wataalamu si wanatuambia IQ ya mwanadamu wa kawaida inaanzia 70 chini ya hapo kuna shida, ngoja waje wataalamu ila sina uhakika mkuu usihofu na maelezo yangu
kweli nimeitwa kenye oral interview kesho
mkuu tatizo yalikuwa yale maumbo ila nadhani kile si kipimo sahihi kwani kiko ktk %. What about wale jamaa wenye 200 tunaoambiwa wako vizuri zaidi duniani? anyway, sina uzoefu hapo. na wewe ulifanya?
Ngoja tuone hiyo oral itakuwaje
Nimeipenda hii topic.. Mimi pia nilituma maombi kwenye hii company japo kwa kuchelewa. Naomba mnisaidie kunieleza, jamaa wameshamaliza kuita watu au zoezi la kuita linaendelea, yaani wanaita watu in batches?
Ofisi za hii kampuni ziko wapi na wanatarajia kuanza operations lini? Pia naomba mnisaidie, procedures za recruitment yaani hizi aptitude tests nk, ni kwa wote, yaani graduates (fresh) from school na watu wenye experience au vipi?
Natanguliza shukrani zangu kwenu wote na kuwatakia kila heri.
I think kuna wakati Akili za Jamii Forums inabidi Uchanganye na zako... Coz nakumbuka kila mtu alisema hii kampuni ni feki na ni matapeli tu.
Ungeanza kueleza wewe mtihani wa jana ulikuwaje then na wadau wengine watatiririka.
"kuridhika" sio kulizika
I think kuna wakati Akili za Jamii Forums inabidi Uchanganye na zako... Coz nakumbuka kila mtu alisema hii kampuni ni feki na ni matapeli tu...
Watu wanaangalia maslahi...hutakiwi kulizika na kazi moja