Mlindieni heshima kidogo iliyobaki

Mlindieni heshima kidogo iliyobaki

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,835
Reaction score
4,240
Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script iliyoandaliwa. Ninajua watu wa Rika lake na jinsia wanakuwa more sensitive na easy kuwa provoked Kuna suala la nature pia. Vilevile tunafahamishwa muda mwingine influence ya substance ni suala binafsi ila nalo mliangalie.
Tumlindie heshima ni wajibu wenu kwa manufaa yetu sote.
 
ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati.
IMG-20250605-WA0030.jpg
 
Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script iliyoandaliwa.
MTU ISIPOMFAA AKILI YAKE, UTAMDHURU UJINGA WAKE.
 
Back
Top Bottom