Mlindieni heshima kidogo iliyobaki

Mlindieni heshima kidogo iliyobaki

Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script iliyoandaliwa. Ninajua watu wa Rika lake na jinsia wanakuwa more sensitive na easy kuwa provoked Kuna suala la nature pia. Vilevile tunafahamishwa muda mwingine influence ya substance ni suala binafsi ila nalo mliangalie.
Tumlindie heshima ni wajibu wenu kwa manufaa yetu sote.
Rais anapaswa kujindia heshima yake yeye mwenyewe kwa kutenda kama anavyopaswa. kama ameharibu heshima yake basi hakuna namna atadharaulika tu.
 
Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script iliyoandaliwa. Ninajua watu wa Rika lake na jinsia wanakuwa more sensitive na easy kuwa provoked Kuna suala la nature pia. Vilevile tunafahamishwa muda mwingine influence ya substance ni suala binafsi ila nalo mliangalie.
Tumlindie heshima ni wajibu wenu kwa manufaa yetu sote.
Funguka vizuri Dr.
 
Moja anagwida sana Moet
Pili wasaidizi hawawezi kufanya lolote kwa mtu asiye na uwezo;
Tatu wasaidizi wenyewe Wazenji elimu waliyo nayo ni Madrasa unatarajia nini???
 
Waliokua wanatisha tushamweka mmojawao jela na mwenz wakumi washapigwa burn kwahyo nimwendo wakusereeeka hatakama tumelala
 
Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script iliyoandaliwa. Ninajua watu wa Rika lake na jinsia wanakuwa more sensitive na easy kuwa provoked Kuna suala la nature pia. Vilevile tunafahamishwa muda mwingine influence ya substance ni suala binafsi ila nalo mliangalie.
Tumlindie heshima ni wajibu wenu kwa manufaa yetu sote.
Kazungukwa na wahuni
 
Back
Top Bottom