na wewe umezidi ubahili. Utampaje mlemavu kaelfu kumi kako? Hizo ni bia ngapi?
Unaona ungempa laki angefaiiiiidi au?
Bahili Msomi.
Huna ubavu wa kummiliki wifi yangu marejesho wewe.
Kwa pesa zako za madafu za kuunga unga utaishia uwanja wa fisi tu.
Namfahamu sana huyo jamaa!Nawasalimu wanaJF kwa upendo ..
Leo mida ya saa nne hivi asubuhi, tumepata mgeni wa kushtukiza ofisini (BUBU).. Mgeni huyu kwa njia anazojua yeye,alibahatika kumdanganya mlinzi(mzembe) na kuruhusiwa kuingia moja kwa moja mjengoni.
Huyu jamaa ni pande la mtu, kavaa smart sana na ni mtu anayejiamnini ..
Aliingia na kuanza kumsalimia mmoja wetu kwa kumpa mkono, na kukabidhi makaratasi aliyokuwa nayo... Zilikuwa ni barua za kuomba msaada.. Kwa vile hatuna utaratibu wa kampuni kama kampuni kutoa msaada, watu waliokuwa na huruma walianza kujisearch angalau kumsaidia kwa chochote.. Mmoja alitoa Tshs 5,000/=, mwingine akaingiza mkono mfukoni ikatoka Tshs 1000/= huku wengine wakiendelea kutafuta walichonacho...
Jamaa alikuwa pembeni akiangalia zoezi zima kwa dharau fulani, akasimama na kukusanya makaratasi yake na kuondoka akionyesha ishara kwamba haitaji hizo fedha.... Hatukuamini macho yetu pale alipoziacha kweli na kuchapa mwendo... Kufika eneo la gate, akatuachia hii barua fupi (ATTACHED)ambayo imetuachia sisi maswali mengi sana..
1.Hivi msaada ni lazima au hiari?
2.Mtu anapangiliaje matumizi ya fedha za mwenzake?
Au alikuwa mwanga?
Chukueni tahadhari. Madame B, PakaJimmy , Filipo , Erickb52 , Preta , Mungi Kaizer Babu DC , Arushaone , Mzee wa Rula , St. Paka Mweusi , majany Nicas Mtei Boflo LiverpoolFC , Mr Rocky , Blaki Womani and MANY OTHERS
Asante Shemito.. Nadhani alitegemea kupata dolari.... Si unajua tena Jiji la kitalii??
Hahahahahaaaaa kumbe ukiwa na kitambi lazma na mfuko nao uwe km kitambiNamfahamu sana huyo jamaa!
Last week alikuja Ofisini kwetu na akaondoka na mafao ya kutosha...(Attn: marejesho, aliwafuata akina Nayoma, Sagaf na wengine kule ndani, wakammwagia fao la kushiba, ndio maana amezowea kuwa akija hadi hapo kwenu ataendelea kuzoa chuzi!).
Actually docs zake zinaonyesha ni Dr. wa phd, na anachangisha ili kwenda ughaibuni kurekebishwa masikio yake ili aweze kusikia.
Binafsi nilimpa buku 5 akaniponda mbaya kuwa kwanini nimpe kiasi hicho wakati nina kitambi!..lol!
Huyu mtu ni wa kumwogopa, na ambao bado hajawapitia,tafadhali 'Shake before Use!'
pole sana mamito... hata ofisini kwetu aliwahi kuja mtu kuomba msaada.. alipofika nikamkaribisha ila akanionesha ishara ya kuwa hasikii. Aliniomba karatasi na kalamu akaindika kuwa anaitea Dr. fulani anatoka sehemu fulani katika mabano akaandika Deaf.. na anahitaji kuonana na manager... wakati anasubiri alikuwa anasoma Daily news (wakati huo ndo kulikuwa na msiba wa RPC MWANZA) Akaniomba tena kalamu na karatasi akaandika "RPC anatakiwa kuwa na walinzi muda wote ilikuwaje awe pekeyake kwa wakati ule na usiku sana?) me sikuwa na jibu zaidi ya kutabasamu make lugha gongana mwe!! aliingia kwa manager akapewa sh. 10,000 ila alishukuru na kuondoka.
kuna wengine wana shukrani wengine hawana..
charminglady bora huyo alikuwa na shukrani!!!
Namfahamu sana huyo jamaa!