Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

Huu weusi wa ngozi umeenda kuathiri hadi akili eeh
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20240315-134400_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240315-134400_WhatsApp.jpg
    145 KB · Views: 12
Watu weusi tutafika mbinguni tukiwa tumechoka mno

Tumesota kwa wazee wetu maisha magumu tunakula kinachopatikana tukajiapiza tukijitegemea tutakula mapochopocho mara tunakutana na makatazo ya Dkt Janabi, tukiingia msikitini au kanisani makatazo ya sheikh au padri, tumeachana na vyoo vya kulenga now tuko na vyoo vya kisasa bado makatazo, daah

Ngachoka kabisa.
 
Unatushauri nini vijana wa chaputa maana hiyo kwetu ni kama 5 star hotel, hasa kikiwa safi.

Na vyoo siku hizi havikai na uchafu, choo kipo hata 50m mbali na septic tank. Ukiflash tu uchafu unasepa, hayo majini kama yanakula nnya si yaende huko kwenye septic tanks.
 
Wewe sema huamini sio kwamba hakikai?
Ety atakaa wapi? Yaani hili swali linanipa mashaka na afya yako ya akili?
Vile ni viumbe vya kiroho
Usijibu kwa mihemko kuchekesha !!
My friend,angalia vizuri hiyo afya ya akili ni nani achekiwe either you or I....Achana na imani potofu bro.....watu wanaumwa pressure,wanaingia bafuni wanainama na kujimwagia maji ya baridi mwili unapata mstuko,wanaanguka,Kwa ajili ya high blood pressure anatoka damu masikioni na puani mishipa imepasuka nyie mnasema katupiwa jini!acha Hizo mambo....
 
My friend,angalia vizuri hiyo afya ya akili ni nani achekiwe either you or I....Achana na imani potofu bro.....watu wanaumwa pressure,wanaingia bafuni wanainama na kujimwagia maji ya baridi mwili unapata mstuko,wanaanguka,Kwa ajili ya high blood pressure anatoka damu masikioni na puani mishipa imepasuka nyie mnasema katupiwa jini!acha Hizo mambo....
Asante sana
Ila usiseme imani potofu wakati ni kitu kipo
 
Fake P nimemuomba shemeji yako nyumba mpya aweke choo kikubwaaa na sink,na Mimi niwe nawasha mishumaa najiloweka na shower gel,sio kuona tu mambo hayo Nungwi!
 
Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.

Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni.

Usipende kuongea chooni/bafuni.

Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni.

Usichezee nyeti zako chooni/bafuni.

Ni heri kufuata lililo kupeleka bafuni/chooni kisha ukatoka.

Ina madhara mengi na imearibia watu wengi maisha yao sio kinyota bali hata kiafya.

Madhara yake nikama...

-maneno yako hayatasikilizwa na yeyote yule hata awe mtu wa karibu nawe utashangaa kukuepuka.

-hutokuwa na uwezo wa kumshawishi mtu yeyote yule kwa jambo lolote.

-kinywa chako kitakuwa kama choo kila usemalo litakuwa chafu na la kuchukiza kwa waja.

-hutezwa sikilizwa haja zako wala kupata usaidizi.


Chooni kuna viumbe wabaya walio fanya chooni/ bafuni kama makaazi yao na ndiyo maana kuna adabu za kuingiliwa chooni.

Kwaiyo ni vizuri kuto tema tema mate, kutoongea ovyo ovyo. Na kuchezea nyeti zako chooni/ bafuni unatamanisha majini kama vile jini mahaba, na wengi walio na jini hili eidha ni kutupiwa ama kusababishwa na kuchezea nyeti ovyo ovyo chooni/ bafuni.

Jiulize kwa nini wagonjwa wengi wa kupooza wengi wao wanaanguka chooni?

Pamoja nakuwa kuna mambo ya kichawi ila asilimia kubwa ya wanao anguka chooni na kupooza ama wengine kufikia chanzo cha kifo chao ni sababu ya majini wabaya chooni/ bafuni.

Kaa ukijua bafuni sio sehemu ya kuchezea haswa kama umzazi mchunge sana mtoto wako kwenda chooni pekee maana hujui ni majini gani yanayo mgonjea humo.

Usiteme mate hovyo !!!
Sawa tumekusikia ila haya ni mambo ya Waislam, si rahisi kumkuta Mkristu anafuga na kuendekeza majini.
 
Sawa tumekusikia ila haya ni mambo ya Waislam, si rahisi kumkuta Mkristu anafuga na kuendekeza majini.
Mbona sisi christian mnaongoza Kwa hirizi?hapa tatizo sio uislam Wala ukristo!tatizo ni uelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom