Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,630
- 14,606
Utaskia et Mbuzi anapika pilau.. 😅Nyie ndiyo mlikua mnatutisha kuingia vyoo vya shule na uzushi wenu wa majini.

Bado unatumia tundu la choo?tafuta sana Hela.......
mim nataka kutokea kuzimu af nirudi,naomba muongozoMimi naweza kupa maelekezo toa hiki eka hiki na sema maneno fulani ukatokea kuzimu!!
But I don't trust you
🤔🤔🤔weeee kumbe mtu ukitaka kwenda kuzimu unaweza kupitia chooniMimi naweza kupa maelekezo toa hiki eka hiki na sema maneno fulani ukatokea kuzimu!!
But I don't trust you
Akimbizane nayo tu hamna namna😅Hahalaa na ilivyo na mbio Pesa yenyewe,
Kazi kwelikweli.
DahhBila shaka wewe ni muislamu.
Mm nafiriki pia na utelezi unaotaokana na sabuni plus majijiKwa hayo uloandika...
Basi nimeishaa!!! Maana choon kwangu nakaa masaa mengi.
With a serious note...me nadhan watu wengi wana anguka chooni, Kwa sababu ventilation sio kubwa, so automatically Kama ukiwa unatatizo ni rahis kupata madhara coz air supply inakuwa ndogo...so it's easy kuanguka chooni kuliko sebuleni...
Scientists watusaidie ....
Umekuja na theories nyingi zisizo na factsEpuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.
Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni.
Usipende kuongea chooni/bafuni.
Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni.
Usichezee nyeti zako chooni/bafuni.
Ni heri kufuata lililo kupeleka bafuni/chooni kisha ukatoka.
Ina madhara mengi na imearibia watu wengi maisha yao sio kinyota bali hata kiafya.
Madhara yake nikama...
-maneno yako hayatasikilizwa na yeyote yule hata awe mtu wa karibu nawe utashangaa kukuepuka.
-hutokuwa na uwezo wa kumshawishi mtu yeyote yule kwa jambo lolote.
-kinywa chako kitakuwa kama choo kila usemalo litakuwa chafu na la kuchukiza kwa waja.
-hutezwa sikilizwa haja zako wala kupata usaidizi.
Chooni kuna viumbe wabaya walio fanya chooni/ bafuni kama makaazi yao na ndiyo maana kuna adabu za kuingiliwa chooni.
Kwaiyo ni vizuri kuto tema tema mate, kutoongea ovyo ovyo. Na kuchezea nyeti zako chooni/ bafuni unatamanisha majini kama vile jini mahaba, na wengi walio na jini hili eidha ni kutupiwa ama kusababishwa na kuchezea nyeti ovyo ovyo chooni/ bafuni.
Jiulize kwa nini wagonjwa wengi wa kupooza wengi wao wanaanguka chooni?
Pamoja nakuwa kuna mambo ya kichawi ila asilimia kubwa ya wanao anguka chooni na kupooza ama wengine kufikia chanzo cha kifo chao ni sababu ya majini wabaya chooni/ bafuni.
Kaa ukijua bafuni sio sehemu ya kuchezea haswa kama umzazi mchunge sana mtoto wako kwenda chooni pekee maana hujui ni majini gani yanayo mgonjea humo.
Usiteme mate hovyo !!!
Huu ni ushirikina LIVEEpuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.