Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,709
- 51,135
Achana nalo litatuongezea stress tu!nakumbuka nikiwa na 9yrs nilisafiri kwenda Namtumbo,kuingia chooni nakuta vigunzi kibao,halafu shimo lenyewe limejengwa na miti miti halafu limekaa Kuna mafinyofinyo nilitoka ndukiii sana,nilishindwa kujisaidiaNaombeni Kwa ridhaa yenu nilete picha ya tundu la Choo ili tuweze kujadili Kwa mapana na marefu