proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,352
- 11,252
𝐡𝐢𝐳𝐢 𝐬𝐢 𝐛𝐚𝐧𝐠𝐢?
🤣🤣🤣😂 Hujanifikia mimi niishamwambia nataka ukubwa wa choo uwe nusu ya chumba, 🤣🤣🤣 nikiweka T-Sink zangu na kioo +sehemu ya towel + Candles + na videtergent vingine+toiletry, Nikisema naenda kuoga ni kuoga kweli sio kukoga 🤣🤣🤣😂 tumechoka kutamani Nung... #Mtoa mada aachane na hivi vyoo vya kina maimunaFake P nimemuomba shemeji yako nyumba mpya aweke choo kikubwaaa na sink,na Mimi niwe nawasha mishumaa najiloweka na shower gel,sio kuona tu mambo hayo Nungwi!
Ndo hawa shuleni walikua wanatuambia chooni kuna pilau linapikwa 🤣🤣🤣😂Nyie ndiyo mlikua mnatutisha kuingia vyoo vya shule na uzushi wenu wa majini.
Amiiiiin!Mwenyezi Mungu atujaalie....na sie tuoge kama kina Rihanna😁😁🤣🤣🤣😂 Hujanifikia mimi niishamwambia nataka ukubwa wa choo uwe nusu ya chumba, 🤣🤣🤣 nikiweka T-Sink zangu na kioo +sehemu ya towel + Candles + na videtergent vingine+toiletry, Nikisema naenda kuoga ni kuoga kweli sio kukoga 🤣🤣🤣😂 tumechoka kutamani Nung... #Mtoa mada aachane na hivi vyoo vya kina maimuna
Ameeeen! Tutaoga tu kikubwa tumejua tunataka kuoga🤣🤣🤣Ami
Amiiiiin!Mwenyezi Mungu atujaalie....na sie tuoge kama kina Rihanna😁😁
Tuachane na mambo ya kikopo na ndio🤣🤣Ameeeen! Tutaoga tu kikubwa tumejua tunataka kuoga🤣🤣🤣
🤣🤣🤣😂 Tena ukileta mchezo nitakuachia wewe na huyo jamaa, kuoga na kikopo na ndoo 🤣🤣🤣😂 Yahweh hapana ilitoshasi
Tuachane na mambo ya kikopo na ndio🤣🤣
Sawa, ila chunguza utapata ukweli.....haya matatizo ni ya Waislam wanaopenda kufuga na kutukuza majiniMbona sisi christian mnaongoza Kwa hirizi?hapa tatizo sio uislam Wala ukristo!tatizo ni uelewa
Unamzungumziaje huyu?Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.
Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni.
Usipende kuongea chooni/bafuni.
Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni.
Usichezee nyeti zako chooni/bafuni.
Ni heri kufuata lililo kupeleka bafuni/chooni kisha ukatoka.
Ina madhara mengi na imearibia watu wengi maisha yao sio kinyota bali hata kiafya.
Madhara yake nikama...
-maneno yako hayatasikilizwa na yeyote yule hata awe mtu wa karibu nawe utashangaa kukuepuka.
-hutokuwa na uwezo wa kumshawishi mtu yeyote yule kwa jambo lolote.
-kinywa chako kitakuwa kama choo kila usemalo litakuwa chafu na la kuchukiza kwa waja.
-hutezwa sikilizwa haja zako wala kupata usaidizi.
Chooni kuna viumbe wabaya walio fanya chooni/ bafuni kama makaazi yao na ndiyo maana kuna adabu za kuingiliwa chooni.
Kwaiyo ni vizuri kuto tema tema mate, kutoongea ovyo ovyo. Na kuchezea nyeti zako chooni/ bafuni unatamanisha majini kama vile jini mahaba, na wengi walio na jini hili eidha ni kutupiwa ama kusababishwa na kuchezea nyeti ovyo ovyo chooni/ bafuni.
Jiulize kwa nini wagonjwa wengi wa kupooza wengi wao wanaanguka chooni?
Pamoja nakuwa kuna mambo ya kichawi ila asilimia kubwa ya wanao anguka chooni na kupooza ama wengine kufikia chanzo cha kifo chao ni sababu ya majini wabaya chooni/ bafuni.
Kaa ukijua bafuni sio sehemu ya kuchezea haswa kama umzazi mchunge sana mtoto wako kwenda chooni pekee maana hujui ni majini gani yanayo mgonjea humo.
Usiteme mate hovyo !!!
Waganga siku hizi mmekua ni wengi hadi KARAHAAA.....Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.

Na wabishi mmekuwa wenngi piaWaganga siku hizi mmekua ni wengi hadi KARAHAAA.....
Mahoteli yote duniani sehemu ya kupigia mswaki iko chooni na ndiyo bafuni hukohukoEpuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.
Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni.
Usipende kuongea chooni/bafuni.
Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni.
Usichezee nyeti zako chooni/bafuni.
Ni heri kufuata lililo kupeleka bafuni/chooni kisha ukatoka.
Ina madhara mengi na imearibia watu wengi maisha yao sio kinyota bali hata kiafya.
Madhara yake nikama...
-maneno yako hayatasikilizwa na yeyote yule hata awe mtu wa karibu nawe utashangaa kukuepuka.
-hutokuwa na uwezo wa kumshawishi mtu yeyote yule kwa jambo lolote.
-kinywa chako kitakuwa kama choo kila usemalo litakuwa chafu na la kuchukiza kwa waja.
-hutezwa sikilizwa haja zako wala kupata usaidizi.
Chooni kuna viumbe wabaya walio fanya chooni/ bafuni kama makaazi yao na ndiyo maana kuna adabu za kuingiliwa chooni.
Kwaiyo ni vizuri kuto tema tema mate, kutoongea ovyo ovyo. Na kuchezea nyeti zako chooni/ bafuni unatamanisha majini kama vile jini mahaba, na wengi walio na jini hili eidha ni kutupiwa ama kusababishwa na kuchezea nyeti ovyo ovyo chooni/ bafuni.
Jiulize kwa nini wagonjwa wengi wa kupooza wengi wao wanaanguka chooni?
Pamoja nakuwa kuna mambo ya kichawi ila asilimia kubwa ya wanao anguka chooni na kupooza ama wengine kufikia chanzo cha kifo chao ni sababu ya majini wabaya chooni/ bafuni.
Kaa ukijua bafuni sio sehemu ya kuchezea haswa kama umzazi mchunge sana mtoto wako kwenda chooni pekee maana hujui ni majini gani yanayo mgonjea humo.
Usiteme mate hovyo !!!
Loh mamlaka ya chooKama kinaitwa choo tiyari katika ulimwengu wa roho ni mamlaka kamili?
Hapo kifuatacho ni kuanguka,mishipa ya damu inapasuka,damu zinaanza toka masikioni na na puani na mdomoni utasikia,KARUSHIWA JINIWanaopata kiharusi chooni wale wote ambao wana shinikizo la damu liko juu na hawajui,na wanafikia kumwagia kichwa maji,hapo inakuwa km umepigwa na radi au shoti ya umeme!acha kupotosha watu Kwa imani za kizamani.
Ila kweli bwana🤔Sawa, ila chunguza utapata ukweli.....haya matatizo ni ya Waislam wanaopenda kufuga na kutukuza majini
Shindwaaaaa aisee🤣🤣🤣....plan ni kubwa mno🤣🤣🤣😂 Tena ukileta mchezo nitakuachia wewe na huyo jamaa, kuoga na kikopo na ndoo 🤣🤣🤣😂 Yahweh hapana ilitosha