Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

Kuna sala/dua za kusema wkt unaingia washroom ilikukuepusha na hayo madhara if it’s true,kingine km ni choo cha nyumbani usafi ni jambo muhimu sn tena mno,jini mahaba ndio linalofarakanisha ndoa nyingi kwakua watu wanatafuta utajiri and wanaume wenye hela so ni mwendo wakirushiana yanayoweza,be cautious with friends or enemies within your normal life.
Acha mambo mengi...una complicate maisha
 
A
Mtu mweusi ni binaadamu ambaye bado hajakamilisha process ya ukuaji na kuwa binaadamu kamili. Dunia ingekua imejaa watu weusi sidhani kama leo tungekuwa na kitu kiitwacho teknolojia
Chaa hizo wewe, Adam mwenyewe alikuwa mweusi.
 
Hapana kaka,choo Cha kisasa hakikai jini!imagine una choo kimoja matata sana huyo jini atakaa wapi?achana na Hizo Imani.........
Wewe sema huamini sio kwamba hakikai?
Ety atakaa wapi? Yaani hili swali linanipa mashaka na afya yako ya akili?
Vile ni viumbe vya kiroho
Usijibu kwa mihemko kuchekesha !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom