Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,923
😂😂Hii imani niliikuta wilaya ya mkinga kwa Wadigo mpakani na horohoro huko, watu hawachimbi choo, wanaamini ukichimba na kujenga choo unakuwa umewajengea majini sehemu ya kuishi, hivyo hawana uatamaduni wa kujenga nyumba na choo, watu wanaenda kujisadia porini au baharini, kuna maeneno wametnga kwa ajili ya kina baba na kwa ajili ya kina mama, wenyewe wanaita Wangwani. Kipindi cha mfungo baada ya kufuturu utaona makundi ya watu wanaongozana kwenda kukata gogo porini