Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,103
- 34,063
Watu wa kanda hiyo wanajua tu Ushirikina na kuroga.Hakika inashangaza sana kuona Mkuu wa Wilaya ambaye ni mlinzi wa amani anaagiza kuondolewa bendera za Chadema ktk Wilaya anayoitawala. Najiuliza baadhi ya maswali
1 Je Chadema sio chama halali
2.Hakiruhusiwi kuwa na bendera
3.Sheria inasemaje juu ya bendera za vyama
4 Je wafuasi wa Chadema wakiamua nao kushusha bendera za CCM nini kitatokea
5 Serikali inasemaje juu ya tatizo hilo.
Nashauri kama Rais anasema Watanzania tusubaguane kwa Itikadi vipi huyo Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga?
Hawajaamka bado, CCM huwa inajipatia kura huko.
Wajinga wajinga sana.