Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

Kujua hayo hayasaidii. Chukueni hatua za kisheria kwa mambo yenye ushahidi. Kwanini mnaonaga kulalamika tu ndio suluhisho?
Kwenye zile mahakama zetu ambazo hakimu aliyemhukumu Sugu alipewa Ujaji fasta tu baada ya hukumu ile na yule wa kesi ya Lema nae akalamba shavu chap chap?
 
Hivi hawa vipi? Lakini tatizo ni Chadema pia kulea huu ujinga. Atoe hizo bendera pamoja na ushahidi wa amri yake wampeleke mahakamani. Waache kulialia tu
Wampeleke mahakama ipi? Mwenye mahakama ni nani na aliyewatuma kungia bendera ni nani? Kama mahaka zingetenda haki vingozi wa vyama vya upinzani wasingekuwa bado na kesi, zingeshaisha.
 
.
IMG-20191208-WA0059.jpeg
 
Kapokea ushauri murua wa rais makofuli wa viongozi kuvuta bangi kisiri ili wawe wakali
Yuko on rait triki
 
Mwenye wilaya yake kashasema tabu ipo wapi.
Tupunguze ushamba na ujinga. Hakuna mtu mwenye wilaya wala mkoa hapa Tanzania. Hata wale wapumbavu waliokuwa wanasema "mkoa wangu wa Dar es Salaam blah blah blah" siku hizi wameacha. Eti wilaya yake! Since when?
 
Sishangai.
Boss wake amewapongeza viongozi wa ccm . kwa ushindi wa KISHINDO.
Kwa hyo wako huru
 
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Ashitakiwe, katiba haimruhusu.
 
Kama ni kweli CHADEMA wafuatilie hili kwa karibu kisheria, pamoja na kwamba wao ndiyo mahakama
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
 
Nashangaa!
Hakika inashangaza sana kuona Mkuu wa Wilaya ambaye ni mlinzi wa amani anaagiza kuondolewa bendera za Chadema ktk Wilaya anayoitawala. Najiuliza baadhi ya maswali
1 Je Chadema sio chama halali
2.Hakiruhusiwi kuwa na bendera
3.Sheria inasemaje juu ya bendera za vyama
4 Je wafuasi wa Chadema wakiamua nao kushusha bendera za CCM nini kitatokea
5 Serikali inasemaje juu ya tatizo hilo.
Nashauri kama Rais anasema Watanzania tusubaguane kwa Itikadi vipi huyo Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga?
 
Back
Top Bottom