Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Kama katamka hayo na ushahidi upo mpelekeni mahakamani, ndio dawa ya wavunja sheria. Acheni kulalamika tuBado kuchomoa betri tu .
Ndio DEGREE NNE hizo?Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Madaraka ya Kulevya.....Hivi watanzania milioni 2 walioongezeka kwa umasikini ndani ya utawala wa JPM umesababishwa na Bendera za Chadema?Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Hakuna haja , anayewateua ndio anavyowaagiza , dawa yao imekamilika , potelea mbali !Kama katamka hayo na ushahidi upo mpelekeni mahakamani, ndio dawa ya wavunja sheria. Acheni kulalamika tu
Eti nini? Ujui kua yeye ni furaha sasaHakika inashangaza sana kuona Mkuu wa Wilaya ambaye ni mlinzi wa amani anaagiza kuondolewa bendera za Chadema ktk Wilaya anayoitawala. Najiuliza baadhi ya maswali
1 Je Chadema sio chama halali
2.Hakiruhusiwi kuwa na bendera
3.Sheria inasemaje juu ya bendera za vyama
4 Je wafuasi wa Chadema wakiamua nao kushusha bendera za CCM nini kitatokea
5 Serikali inasemaje juu ya tatizo hilo.
Nashauri kama Rais anasema Watanzania tusubaguane kwa Itikadi vipi huyo Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga?
Wilaya yake kuanzia lini? Hiyo Berlin Conference ya Kumgawia Wilaya ilifanyika lini?Mwenye wilaya yake kashasema tabu ipo wapi.
Kwani mkuu lugha za hivyo/ubabe huo wa ma-dc hujui wamejifunzia kutoka kwa nani?Kama katamka hayo na ushahidi upo mpelekeni mahakamani, ndio dawa ya wavunja sheria. Acheni kulalamika tu