Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,305
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa.

Chanzo: Mwananchi
 
Hakika inashangaza sana kuona Mkuu wa Wilaya ambaye ni mlinzi wa amani anaagiza kuondolewa bendera za Chadema ktk Wilaya anayoitawala. Najiuliza baadhi ya maswali
1 Je Chadema sio chama halali
2.Hakiruhusiwi kuwa na bendera
3.Sheria inasemaje juu ya bendera za vyama
4 Je wafuasi wa Chadema wakiamua nao kushusha bendera za CCM nini kitatokea
5 Serikali inasemaje juu ya tatizo hilo.
Nashauri kama Rais anasema Watanzania tusubaguane kwa Itikadi vipi huyo Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga?
 
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa... Chanzo Mwananchi
Ndio DEGREE NNE hizo?
 
Jipu likiiva........., naona sasa kila kiongozi wa ccm anatoa matmko, ccm inatumia nguvu kubwa sana ambayo haikuwahi kutumiwa, yaani hii siasa ni vituko kwakweli
 
Hakika inashangaza sana kuona Mkuu wa Wilaya ambaye ni mlinzi wa amani anaagiza kuondolewa bendera za Chadema ktk Wilaya anayoitawala. Najiuliza baadhi ya maswali
1 Je Chadema sio chama halali
2.Hakiruhusiwi kuwa na bendera
3.Sheria inasemaje juu ya bendera za vyama
4 Je wafuasi wa Chadema wakiamua nao kushusha bendera za CCM nini kitatokea
5 Serikali inasemaje juu ya tatizo hilo.
Nashauri kama Rais anasema Watanzania tusubaguane kwa Itikadi vipi huyo Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga?
Eti nini? Ujui kua yeye ni furaha sasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom