Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

Na jamaa inaonekana hapangiwi kitu hata akitaka kuvaa pensi na kutinga clemlin hakuna wa kumzuia..,hivi ndivyo alivyolipuka pamba wakati wa mkutano wa wawakilishi wa Africa mbele ya rais Putin View attachment 2701219
Imagine jamaa kaishia shule ya msingi tu,ila ana maakili ya kutafuta pesa na ushawishi. Kutoka kuuza Hot dog hadi kuwa karibu na Putin ,kuanzisha Wagner hadi kutawala Africa .
 
Kwanini Kenya mnauana hovyo? Rafiki yako makenzi kaua kwa halaiki, sasa Nairobi mnauana kwa halaiki. Kwanini hamrudi kwa Mwenyezi Mungu?

Halafu huyo mungu wako mwarabu alikua anawachafua wavulana subiri nikuletee maandiko kabisa.
 
Wewe mvaa kobaz umeadimika sana, niliwaambia mtahema, miaka miwili sasa bado hamna jipya, Putin aliwaingiza mkenge.
Huu mwaka wa ngapi. tangu jeshi lenu la Kenya livamie Somalia, mbona uletagi update ya mafanikio ya KDF huko Somalia, muda wote huko overly obsesses na Putin na Urusi - juzi hapa jeshi la Sudani ya Kusini hawataki kusikua upuuzi wa jeshi la Kenya kupelekwa Sudani kusini eti kulinda Amani, Congo DRC walisha watimua siku nyingi tu mbona hayo hamuyasemi - masaa yote Putin Urusi, Putin Urusi.
 
Miaka yote hii Urusi ndio ilikua tegemeo lenu dhidi ya Marekani ila imelemazwa na kataifa jirani hapo, ulikua ujinga sana kwa Putin kudhani ataparamia hako kainchi kwa siku chache, ameitia Urusi aibu, kwa sasa waarabu wenu itabidi wasalimu amri tu hamna namna, Marekani ndiye kiranja wa dunia.
 
Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin, amekuja na kuhudhuria hafla ya Putin na kafanya vikao vyake na viongozi wa Afrika.....

Huyu Putin labda huwa tunamuonea bure, itakua ni mateka kabisa na hufuata maagizo ya Russian mafia....

Russian media publish this screenshot of Prigozhin reportedly meeting with representatives of the Central African Republic at the Russia-Africa summit in St Petersburg. (This means that Prigozhin is in Russia and freely visits an official event where Putin also spoke).

Ni mtu mjinga tu aliyekuwa anadhani huyo jamaa anashida na putin.ile issue ilikuwa ni muvi ya kuwajaza wajinga wa NATO.
 
Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin, amekuja na kuhudhuria hafla ya Putin na kafanya vikao vyake na viongozi wa Afrika.....

Huyu Putin labda huwa tunamuonea bure, itakua ni mateka kabisa na hufuata maagizo ya Russian mafia....

Russian media publish this screenshot of Prigozhin reportedly meeting with representatives of the Central African Republic at the Russia-Africa summit in St Petersburg. (This means that Prigozhin is in Russia and freely visits an official event where Putin also spoke).

Huyu jamaa ni mtu mdogo sana kwa putin lakini wajinga wa NATO mkapumbazika na ile movie mpaka leo hamkubali kuwa mlichezewa akili.
 
Miaka yote hii Urusi ndio ilikua tegemeo lenu dhidi ya Marekani ila imelemazwa na kataifa jirani hapo, ulikua ujinga sana kwa Putin kudhani ataparamia hako kainchi kwa siku chache, ameitia Urusi aibu, kwa sasa waarabu wenu itabidi wasalimu amri tu hamna namna, Marekani ndiye kiranja wa dunia.
Wakenya ndo zenu hizo kujikomba kwa west.Kwa hiyo kwa akili yako mkizingua US atawasaidia...Sudan hapo wameishawabip....Fanyeni kujikuna muone moto....Njaa imawapiga, jangwa- mvua hakuna, bado kuna Alshababi, mnaandamana hata hamuekeweki mnataka nini....et mnaiga wazungu wanavyoandamani...wewe uko bizy na Urusi na Putin....
 
Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin, amekuja na kuhudhuria hafla ya Putin na kafanya vikao vyake na viongozi wa Afrika.....

Huyu Putin labda huwa tunamuonea bure, itakua ni mateka kabisa na hufuata maagizo ya Russian mafia....

Russian media publish this screenshot of Prigozhin reportedly meeting with representatives of the Central African Republic at the Russia-Africa summit in St Petersburg. (This means that Prigozhin is in Russia and freely visits an official event where Putin also spoke).

Wagner na urusi lao ni moja tu hawajawahi kugombana hawa ni trick tu
 
Huyu jamaa ni mtu mdogo sana kwa putin lakini wajinga wa NATO mkapumbazika na ile movie mpaka leo hamkubali kuwa mlichezewa akili.

Tatizo huna akili na ulivyo mjinga wa kutoweza kujua Putin ni mateka wa huyu jamaa na mafia wengine wa Moscow.
 
Wakenya ndo zenu hizo kujikomba kwa west.Kwa hiyo kwa akili yako mkizingua US atawasaidia...Sudan hapo wameishawabip....Fanyeni kujikuna muone moto....Njaa imawapiga, jangwa- mvua hakuna, bado kuna Alshababi, mnaandamana hata hamuekeweki mnataka nini....et mnaiga wazungu wanavyoandamani...wewe uko bizy na Urusi na Putin....

Tatizo huwa mumshikiliwa akili na waarabu hadi akili zimekua kama matope, kisa kawaambia mchukie Marekani nyote mumebebana kama makondoo bila kutumia ubongo, Marekani ndiye kinara wa dunia, hamumfanyi kitu, Urusi ndio ilikua tegemeo lenu ila ndio basi, hata waarabu wote leo hii wamesalimu amri, imesalia nyie waarabu wa Mkuranga.
 
Back
Top Bottom