Rais Putin akutana na Boss wa Wagner

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,720
6,528
Kumekucha pale Moscow, walio sema kulikuwa na Move inachezwa hope walikuwa sawa.

---
Russian President Vladimir Putin met mercenary leader Yevgeny Prigozhin after the failed Wagner group mutiny last month, the Kremlin says.

Prigozhin, who heads the mercenary group, was among 35 Wagner commanders invited to the meeting in Moscow, Kremlin spokesman Dmitry Peskov added.

He said that President Putin had given an "assessment" of the Ukraine war effort and the mutiny.

The rebellion, launched on 23 June, lasted only 24 hours.

Under a deal to end the mutiny, which saw Wagner troops seize a city and march on Moscow, charges against Prigozhin were dropped and he was offered a move to Belarus.

There had been very public infighting between Wagner and Russia's ministry of defence over the conduct of the war. Prigozhin had repeatedly accused the ministry of failing to supply his group with ammunition.

But on Monday, Mr Peskov said the Wagner chief was among the commanders who were invited to the Kremlin five days after the mutiny collapsed.

"The president gave an assessment of the company's actions on the front," Mr Peskov is quoted as saying by Interfax news agency.

"He also gave assessment to the 24 June events. Putin listened to the commanders' explanations and suggested variants of their future employment and their future use in combat."

According to the spokesman, Prigozhin told Mr Putin that Wagner unconditionally supported him.

The Wagner chief's current whereabouts are unclear.

Last Thursday Belarus leader Alexander Lukashenko - who brokered the deal that ended the mutiny - said Prigozhin was in Russia.

The BBC tracked Prigozhin's private jet flying to Belarus in late June, and returning to Russia the same evening.

The Wagner Group is a private army that has been fighting alongside the regular Russian army in Ukraine since last year's invasion.

But following setbacks for Russia on the battlefield, Prigozhin took to social media to lash out at the high command.

He has been particularly scathing about Defence Minister Sergei Shoigu and Chief of the General Staff Valery Gerasimov - the two most senior figures running Russia's invastion of Ukraine.

Prigozhin did not directly condemn Mr Putin during the mutiny, but analysts described it as the biggest challenge to the president's authority in more than two decades in power.

Meanwhile Gen Gerasimov has been seen in public for the first time since the mutiny.

There had been speculation that Wagner's march was cancelled in return for the general's sacking. However, footage aired on Russian TV on Monday shows him issuing orders for Ukrainian missile sites to be attacked.

He is heard discussing recent events, suggesting that the video was filmed after the mutiny.

The video suggests that President Vladimir Putin has kept both Mr Shoigu and Gen Gerasimov in their posts.

Source: BBC
 
Yap story is real;

Rais Vladimir Putin amefanya mazungumzo mjini Kremlin na mwanzilishi ambaye ni boss wa kundi mamluki la Wagner Yevgeny Prigozhin na makamanda wake ili kujadili issue ya uasi ambao Wagner walijaribu kuuanzisha.

Mkutano huo uliripotiwa kwa mara ya kwanza na gazeti la Ufaransa Liberation, ambalo lilisema Prigozhin alikutana na Putin na mkuu wa Walinzi wa Urusi Viktor Zolotov, na bosi wa Ujasusi wa masuala ya nje wa SVR Sergei Naryshkin.

Taarifa hii nimeitoa kutoka Reuters.
 
Putin haeleweki. Ni hivi hao wagner walipokuwa wanaelekea moscow walibakiza km 200 hivi kuingia moscow yaani ni kama Dar mpaka Morogoro Putin kadandia ndege na kutokomea kusikojulikana na bila kuaga.

Zelensky Warusi walivamia ma kubakiza km 20 hazifiki yaani kama Dar na Maili moja kibaha au tufanye kwa mfipa. Hata hivyo alikataa kukimbia na kupewa hifadhi. Na hapo misaada ya Nato ililikuwa bado.

Ila tunaambiwa Russia ni supa pawa na 2 duniani na vita hivyo ni umbali wake ni pua ma mdomo toka nchi hadi nchi.

Huyo Mwamba naona wanamwogopa nadhani ana karata kubwa akicheza tu game over.
 
Kumbe wanajua putin mwamba sio kwa msuri huo
Screenshot_20230710-203349.jpg
 
Yap story is real;

Rais Vladimir Putin amefanya mazungumzo mjini Kremlin na mwanzilishi ambaye ni boss wa kundi mamluki la Wagner Yevgeny Prigozhin na makamanda wake ili kujadili issue ya uasi ambao Wagner walijaribu kuuanzisha.

Mkutano huo uliripotiwa kwa mara ya kwanza na gazeti la Ufaransa Liberation, ambalo lilisema Prigozhin alikutana na Putin na mkuu wa Walinzi wa Urusi Viktor Zolotov, na bosi wa Ujasusi wa masuala ya nje wa SVR Sergei Naryshkin.

Taarifa hii nimeitoa kutoka Reuters.
Sawa mkuu, tunashukuru kwa kututhibitishia,siku hizi upo makini sana hupo tayari tena kunywa chai bila sukari au kahawa!
 
This is unreasonable reasonable.
I believe there was a lot of counter counter intelligence(militarily that is) that needed to be gathered. Mind you these two have been friends in someways. The end results will come up shortly.
 
Siku 500 tangu uvamizi wa kuiparamia Kyiv uanze, yaani Putin amekua comedian kabisa, kaitia aibu kubwa sana Urusi.
Putin is very calculative. Kama hii vita alianzia na Crinea huko nyuma, kweli haijulikani anafanya nini sasa hivi ikiwa uvamizi wake wa kwanza ulikuwa hauleti maana yeyote.
 
Kakosea mahesabu kichizi, yamemtokea puani, leo hii NATO (Finland) inachangia naye mpaka wa kilomita 1,300 pia kwa mara ya kwanza kakoswa koswa kupinduliwa hadi alikua ameikimbia ikulu, kapoteza maelfu ya wanajeshi wa Urusi bila sababu yoyote ya msingi, kiasi kwamba hana cha kuwaambia wazazi wao.
Kuna majanga mengi sana siwezi kuyaandika yote, amekamatwa hajui pakutokea......
Uswisi pia imekubaliwa kuingia NATO baada ya Uturuki kuachia licha ya kitabu cha muarabu (kuran) kutiwa kiberiti....hivyo sasa Urusi itazungukwa na NATO karibia kote kasoro China na Belarus.
 
Kumekucha pale Moscow, walio sema kulikuwa na Move inachezwa hope walikuwa sawa.

---
Russian President Vladimir Putin met mercenary leader Yevgeny Prigozhin after the failed Wagner group mutiny last month, the Kremlin says.

Prigozhin, who heads the mercenary group, was among 35 Wagner commanders invited to the meeting in Moscow, Kremlin spokesman Dmitry Peskov added.

He said that President Putin had given an "assessment" of the Ukraine war effort and the mutiny.

The rebellion, launched on 23 June, lasted only 24 hours.

Under a deal to end the mutiny, which saw Wagner troops seize a city and march on Moscow, charges against Prigozhin were dropped and he was offered a move to Belarus.

There had been very public infighting between Wagner and Russia's ministry of defence over the conduct of the war. Prigozhin had repeatedly accused the ministry of failing to supply his group with ammunition.

But on Monday, Mr Peskov said the Wagner chief was among the commanders who were invited to the Kremlin five days after the mutiny collapsed.

"The president gave an assessment of the company's actions on the front," Mr Peskov is quoted as saying by Interfax news agency.

"He also gave assessment to the 24 June events. Putin listened to the commanders' explanations and suggested variants of their future employment and their future use in combat."

According to the spokesman, Prigozhin told Mr Putin that Wagner unconditionally supported him.

The Wagner chief's current whereabouts are unclear.

Last Thursday Belarus leader Alexander Lukashenko - who brokered the deal that ended the mutiny - said Prigozhin was in Russia.

The BBC tracked Prigozhin's private jet flying to Belarus in late June, and returning to Russia the same evening.

The Wagner Group is a private army that has been fighting alongside the regular Russian army in Ukraine since last year's invasion.

But following setbacks for Russia on the battlefield, Prigozhin took to social media to lash out at the high command.

He has been particularly scathing about Defence Minister Sergei Shoigu and Chief of the General Staff Valery Gerasimov - the two most senior figures running Russia's invastion of Ukraine.

Prigozhin did not directly condemn Mr Putin during the mutiny, but analysts described it as the biggest challenge to the president's authority in more than two decades in power.

Meanwhile Gen Gerasimov has been seen in public for the first time since the mutiny.

There had been speculation that Wagner's march was cancelled in return for the general's sacking. However, footage aired on Russian TV on Monday shows him issuing orders for Ukrainian missile sites to be attacked.

He is heard discussing recent events, suggesting that the video was filmed after the mutiny.

The video suggests that President Vladimir Putin has kept both Mr Shoigu and Gen Gerasimov in their posts.

Source: BBC
Prigozhin ndie anayemueka Mjini Putin.,
 
Prigozhin ndie anayemueka MjiniPutin.,
Wamekutana jana, na upo uwezekano wamekubaliana na kuafiki maswala machache kupunguza tension iliyojengwa hivi majuzi kati yao, pia, nadhani Putin ataanza kuwanyemelea wale walioungana na Prigozhin wakati wa maasi yale, isitoshe ninahisi huu ulikuwa mpango mzima wa Putin na Progozhin.
 
Labda walifanya vile ili wawajue wenye tamaa ya kupindua meza
 
Back
Top Bottom