Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Nimekupata point yako ni kuwa ajali ingekuwa na idadi ya Vifo less na few wangenusurika
Ni kweli lazima mkuu wa shule au msimamzi Wa hii safari afunguliwe mashtaki kwa ili, ili next time wengine wajifunze kupitia huu mfano.
Sasa kwenye sababu ya ajali inabidi kuwe na intensive investigation maana nimesikia mengi Kama tatizo ilikuwa break, ukungu, high speed etc
 
Picha ya watoto waliopata ajali Arusha. Hapa ni dakika chache kabla ya kupanda basi.

18222370_435867586763941_2851926992390400720_n-jpg.506017


Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
 
Au sio?!!!? Basi akamatwe tu maana usalama wa abiria ni kwa safari ndefu tu na sio town route.

Jiongeze wewe. Ndio maana hao madereva unaoita town route, wanavaa mkanda wa usalama
Na je hao wa town routes wanazuiwa kusimamisha abiria ndani ya gari? Abiria wao wanalazimishwa kuvaa mikanda ya usalama (safety seat belts)? Hiyo ndo maana yangu ya kutofautisha safari ndefu/za mikoani na safari za mijini.

Mabasi/daladala ya mijini anayeamriwa kufunga huo mkanda ni huyo dereva tu kwa sababu viti vya abiria kwa daladala pamoja na hizo UDART havina seat belts, lakini kwa mabasi ya safari ndefu/mikoani sasahivi ni lazima yawe na belts kwenye viti vya abiria ili kutimiza vigezo vya kusafirisha abiria.

Nadhani kama nia yako ni kujifunza jambo, utakua umenielewa, lakini kama ni kubisha tu huwezi kunielewa. Nikutakie siku njema.
 
My take:: ni tukio baya na la kusikisha: dereva ndio claimed coz kuna sheria za kumtamtaka kukagua gari yake kabla haijaanza safari yeye ndio ngekua na majibu sasa SASA kama mna muhukumu mwalimu kwa kosa la dereva KWANZA NI TAALUMA TOFAUTI NA NINA LIKEMEA LABDA KAMA WANA TAKA A PARTICIPATE INDIRECT
Nani aliruhusu abiria 4O waingie kwenye basi LA kubeba abiria 28?
 
Sasa mbona habari iliotapakaa huku mtaani ndo inavyosemekana
Fatilia kitu nd utoe maelezo sio kwa kusikia kila Mtu ataongea lake ili janga lakitaifa hakuna Mtu alie jua kwahy wote tunafatilia taarifa kwa makini sio kwa kusikia kwenye vijiwe vya kahawa so sad[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
haya mambo hutokea kule mnakoitaga kwa wenzetu,,,,sheria zetu hizi kaputi
 
Aiseeee masuala mengine no yakusamehe mkuu!
Watoto wenyewe no wadogo kiasi kwamba wanaweza kaa hata wawili na nafasi ikabaki!
Ingawa inauma kupoteza ndugu ila kiukweli sidhani yeye mwenyewe alidhamiria........
Binafsi hats lama alifanya hivo nimemsamehe nawalilia hapo watoto!
USALAMA ndani ya GARI ni kufunga mikanda mtu mzima kama wewe unaposema wototo wanakaa wawili wawili watafungaje mikanda hivo,mbona kwenye New force zenu hamkaagi wawili wawili siti 1.
 
Fatilia kitu nd utoe maelezo sio kwa kusikia kila Mtu ataongea lake ili janga lakitaifa hakuna Mtu alie jua kwahy wote tunafatilia taarifa kwa makini sio kwa kusikia kwenye vijiwe vya kahawa so sad[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Haya mkuu ngoja nikae kimya nimejifunza kitu
 
Ukitumia kipimo hichohicho mkuu utafunga wamiliki daladala wote nchini na matrafic wote ambao huangalia daldala zikipita zikiwa watu wengine wanapumulia tundu moja la pua kwa mbanano.utafunga wamiliki wote wa day care centers na English medium ambao hutumia mabus ambayo hayana mikanda ya usalama au watoto wanapakiwa kwenye Noah
Matatizo hayatatuliwi kwa kufunga watu Bali kuanzisha system ya kulitatua kwa kudumu Kitaifa
Good Thinking!

Tuna-fail katika ku-deal na root causes, ni hatari sana.
 
Jamani, tuache kuwatia uchungu wafiwa kwa thread ambazo si muda wake sasa. Tupeane pole tu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom