Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Kwani kuna sheria ya kuzuia watu kupanda gari zaidi ya idadi ya viti? Basi mpaka wamiliki wa udart wakamatwe
Mkuu hiyo UDART ni daladala ndiyo maana wanaruhusiwa watu kusimama, hapa tunaongelea usafiri wa safari ndefu kwenye Highways siyo town routes. Usibaki ndani ya box/mjini toka nje.
 
Kwa mtu asiyejua mambo ya magari nirahisi sana kuamini hilo.ila ukweli nikua ajali hiyo haina uhusiano na wingi wa abiria.kwa wale madereva watakubaliana na mimi kwamba ukiona ajali imemjeruhi au kumuua dereva haikua na namna ya kufanya
Lkn mkuu pamoja na kujua kwako magari, na kwamba ajali haikusababishwa na kuzidi kwa abiria, Sawa. Lkn madhara au matokeo ya ajali yamekuwa makubwa kwa namna yalivyo kwa kuwa abiria walizidi.
Moja; Hata kama ilitakiwa wafe wote wangekuwa idadi stahiki basi waliozidi wangepona.
Pili; kwa kuwa idadi sahihi labda wangeweza hata kufunga mikanda (kama ilikuwepo
Ila sisi ni hodari wa kupuuza mambo ndio maana kila leo kila kona tuna matatizo yanayofanana..
 
Mkuu wa shule,hawezi kupanga wanafunzi wake wafariki,wanafunzi ndio sifa ya shule,ikiwa wanafauli vizuri mitihani yao.Ndio maana alitaka wakajipime,na shule nyingine,ili aone wako na kiwango gani cha ushindani.
 
Natamani ufike Dar ukae pale Kimara stend ya mwendo kasi kuanzia Saa 12 kamili asubuhi hadi Saa moja kamili asubuhi kisha nipe mrejesho
 
Mkuu hiyo UDART ni daladala ndiyo maana wanaruhusiwa watu kusimama, hapa tunaongelea usafiri wa safari ndefu kwenye Highways siyo town routes. Usibaki ndani ya box/mjini toka nje.
Au sio?!!!? Basi akamatwe tu maana usalama wa abiria ni kwa safari ndefu tu na sio town route.

Jiongeze wewe. Ndio maana hao madereva unaoita town route, wanavaa mkanda wa usalama
 
yaweza kuwa ni sababu mojawapo lkn ...kwa upande mwingine isiwe na pia huu si mda wa kulaumiana cha mhm n maombi kwa wingi...amen
 
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
Bujibuji kwa kikwetu ni konokono, nadhani utakua na akili kama za konokono kama sio konokono.

Mkuu wa shule ndio sumatra,

Mkuu wa shule ndio trafiki wa check point waliokua wanaruhusu hiyo bus ivuke,

Mkuu wa shule ndio dereva wa bus, kwamba angeona idadi imefika agome kupakia zaidi.

Mkuu wa shule ndio transportation officer wa shule,

How sure kuwa hiyo bus ilikua ni ya kubeba idadi hiyo uliyotaja,

MSIMU WA WAKURUPUKAJI KUTOA MATAMKO
 
Upuuz watu wamekufa wamekufa akamatwe ndio atafanya nn
 
Ndo maana nchi za watu lazima awepo MTU ambaye atakuwa answerable sio kukaa kimya tu.
 
Ukitumia kipimo hichohicho mkuu utafunga wamiliki daladala wote nchini na matrafic wote ambao huangalia daldala zikipita zikiwa watu wengine wanapumulia tundu moja la pua kwa mbanano.utafunga wamiliki wote wa day care centers na English medium ambao hutumia mabus ambayo hayana mikanda ya usalama au watoto wanapakiwa kwenye Noah
Matatizo hayatatuliwi kwa kufunga watu Bali kuanzisha system ya kulitatua kwa kudumu Kitaifa
Hili lazima liende na fundisho, haya mambo ya kumsingizia Mungu tuachane nayo, kila mtu abebe mzigo wake,
 
Kuna wakati tukiita goose kupigiana pasi, weka kila kitu kikiwa wazi, mwalimu mkuu kosa Lake nini, hiyo huitwa bahati mbaya, Gari hata likiwa jipya na kupakia kawaida, linaweza kupata ajali pia, acha Visingizio, tusubiri mazishi hapo kesho
 
Back
Top Bottom