Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Hiyo ni sababu tu,ila tukiaza kuangalia chanzo cha ajali bado kuna utata, wamsamehe tu huyo teacher.
 
hali hii sio waziri ungekuwa waziri je? huenda ungekuwa unatoa matamko kila baada ya masaa mawili.....
mlikuwa mnawasema sana mawaziri kwa matamko katika hili wamebehave wanaombeleza, matokeo yake matamko yanatolewa na wanajf!!!!
 
Acha kuropoka usichokijua wee magar yalikua matatu mawili yalitangulia..limoja likapata ajali.Sijui mmeumbwaje mijitu mingine kwa uzushi hamjambo etii inasemekana!! Si bora unyamaze
mkuu wengine humu hata kusikiliza au kuangalia habari kwenye vyombo vya habari hawaangalii... .ye anategemea habari za fb tu.
 
Mwenye kosa ni dreva maana yeye ndiye anayejua masharti ya gari analoendesha. Kama mkuu alitumia cheo chake kumshinikiza alipaswa kuwa na msimamo maana gari lingesimamishwa njiani na traffic police angeulizwa yeye dreva kuhusu kuzidisha abiria haulizwi mtu mwingine. Na kama angetoka hai angekiwa kituoni muda huu kwa tuhuma za mauaji.
 
mnataka siasa kwenye
msiba wa watoto wetu?...ukamatwe wewe wa kudharau maumiv ya watu waliopoteza wapenz wao
 
Tena inasemekana ilitakiwa magari matatu lakini yeye akaforce moja
Inasemekana ndio nini manaake...!?
Alafu siku nyingine jaribu kukaa na kuja na habari zenye uhakika sio za inasemekana.
Magari yalikuwa matatu mkuu usikurupuke tena namna hiyo mkuu.
 
Kaka umekurupuka to the extreme.
Wether aameruhusu ama laa... siku yao ilipangwa , no way out lazima wangeondoka tu.
 
28 kwa 40 na kwa vimo vyao sio tatizo mengine ni kumuachia Mungu

Kumbuka ajal humbena hadi mwenye tahadhar
 
Kuna ubora wa gari wenyewe, kumbuka hii safari ilikua ndefu (arusha-karatu). Anayejua tatizo ni dereva bahati mbaya naye hatunaye
Kweli aisee kuna umbali sana ni zaidi ya kilomita 40
 
Mkuu wa shule?

Anyway nina majonzi kwasasa, nitarudi
 
Sikuizi umekua na hoja nyepesi sana bujibuji umekula mahaeagwe ya kolomije mkuu[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom