Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Tuache ujinga .....

Japo repurcusion ya hili ni Watoto kahama Shule, na Kuogopa kupanda gari tena.. Naona Shule hii ikisambaratika..... Mungu awapoze, pole mkuu WA Shule na mmliki....
 
Akishakamatwa ndo uhai wa wapendwa wetu utarudi? Dereva alikuwa mgeni wa njia sio kosa Lake, mteremko, kona utelezi inatakiwa hesabu Sana.
 
Nipo kwenye msiba jamani hapa NHC za zamani [magorofani]. Familia moja imefiwa na mtoto wao.

Inasikitisha sana, Mama analia sana tangu jana mpaka saivi na kihali cha kibaridi daaah its so sad jaman
 
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
Wakati wa kufa ukifika umefika! There is no delay! Watoto wamekufa, kama taifa tuna huzuni kubwa, suluhu pekee ni kujipanga kuangalia jinsi ya kupunguza ajari hizi hapo baadaye na wala si kumtafuta mchawi ambaye hata ukimpata hata kusaidia kuzuia tatizo hili baadaye. Hata hivyo nimeidharau post yako mkuu, hakuna yeyote aliyekusudia watoto hao wafe, kumbuka hata dereva na walimu pia wamekufa.
 
Kabla ya kumkamata mkulu tujiulize watakaomkamata ni police siyo polisi?
Na trafiki ni polisi siyo polisi?
Sitaki kuamini kuwa kuroka arusha had karatu hajukuwa na trafiki wa kukagua hilo bus
At the end all in all RIP wadogo zeru yote mipango ya Mola
 
Bujibuji na wenzako kumbe hamjui kuwa gari za Kids huwa ni 35+ kwa gari kama coaster? Muwe mnaulza
 
Mambo mengine kama haya hebu tunyamaze kwanza watu tuna majonzi bado..
 
Kuna mwanafalsafa mmoja alikua ni Mayor wa jiji la Dar es Salaam (R. I. P) alishawahi kuonya kuhusu matumizi ya kiungo tunachotumia kukalia kwenye kufikiria na kutoa maamuzi.
 
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
Mkuu, niko hapa nasoma traffic act ya mwaka 73... Kuhusu number of passengers, sheria inatambua watoto wawili (possibly chini ya miaka 18) kuwa sawa sawa na abiria mmoja mtu mzima... Niko natafuta hicho kifungu ntarudi tena...
================================
Road Traffic Act of 1973 Section 39 sub section 4 inasema
.(4) For the purposes of subsections (2) and (3) of this section, persons traveling on a motor vehicle or trailer shall be deemed to be part of the load:
Provided that- .
(a) a child who is under the apparent age of three years and' who does not occupy a seat shall not be deemed to be a passenger;·and
(b). any two children, .each of whom is over apparent age of three years and' under the apparent age of twelve years shall be deemed to be one passenger.
 
Nilikuwa naangalia habari weekend kuna baba mmoja kasema ajali ile ama ni kafara au imetokana majini!Sijui hii imekaaje wakuu?
 
Bora uwe kama mimi ninayeamini siku ya kufa haibadiliki.Siku ikifika hamna namna,tutalaumu lakini Mungu peke yako ndio anajua.RIP Wapendwa wetu,sisi tunaamini ufufuko,siku moja tutaonana.
 
a895a3cef224bfecdf3e4c282a0073c8.jpg
 
Mi nahisi dereva alikua mgeni wa barabara hio ndio chanzo cha ajali....

Ni mawazo yangu tu
 
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
Kwani kuna sheria ya kuzuia watu kupanda gari zaidi ya idadi ya viti? Basi mpaka wamiliki wa udart wakamatwe
 
Back
Top Bottom