Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Jamani kuweni na akili. Na kama huna taarifa kaa kimya. Magari yameenda Matata. Dereva wa kwanza alifikisha gari salama la pili ndo hilo la tatu halikupata ajali unataka mkuu ashtakiwe pumbafuuu.
Waliokufa ni 33 waliopona 3 hiyo 40 unaitoa wapi. Mbona wanafiki mnatupotezea muda!
Kumbe yameenda matata sasa hiyo coaster ilopata ajali imetoka wapi
 
Huyo mkuu wa shule ndo aliruhusu abiria 40 wapande basi yenye uwezo wa kubeba abiria 28?

Na kama idadi ya abiria si sababu ya hiyo ajali, kwa nini akamatwe?

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha ( RPC ), Charles Mkumbo amesema wanamshikilia mmiliki wa basi dogo aina ya Coaster ambayo ilipata ajali na kusababisha vifo kwa wanafunzi, walimu na dereva siku ya Jumamosi huko Karatu, Arusha.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha ( RPC ), Charles MkumboRPC Mkumbo amedai wanamshikilia mmiliki wa shule hiyo kwa kuruhusu gari yake hiyo kubeba abiria wengi zaidi kuliko uwezo wa gari "Siku ya tukio walikuwepo abiria 38 kwenye gari katika uchunguzi baada ya kubaini hilo tumeshachukua hatua kwa mtu aliyewezesha gari hilo kupakia hao watu.
Tumeshamkamata mmiliki wa gari ambaye ndiye mwenye shule hii, sasa hivi tunaendelea na uchunguzi na utakapokamilika atafikishwa mahakamani"alisema RPC wa Arusha Kwa mujibu wa Mkumbo anasema gari hiyo ilikuwa na kibali cha kubeba watu 30 lakini gari hiyo siku ya ajali ilikuwa na watu zaidi ya 30.
Chanzo: EATV
 
MBONA KWENYE DALADALA TUNAPANDA ABIRIA ZAIDI YA 40 HUKU WENGINE WAMESIMAMA NA WENGINE WAMEKAA ,HUO UTAKUWA UONEVU
 
Kama wameamua kuwashtaki basi wawashtaki na askari wa usalama barabarani ambao waliona hilo kosa lakini hawakuwachukulia hatua. Isiwe baada ya ajali ndio wanamtafuta wa kumbebesha lawama wakati wahusika ni wengi. Au ina maana njia yote hiyo kutoka Arusha mpaka walipofikwa na ajali hakukuwa na askari wa usalama? Au siku hizi wao wanashughulika na tochi peke yake?
 
imempasa mtu mmoja,asulubiwe!
one man to take the fall for others!!!
 
Back
Top Bottom