Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

alisogelea dirishani na kutoa bastola yake na kuanza kugonga dirisha kwa kutumia bastola yake, huku akimwamuru ashuke ndipo ghafla alifyatua risasi moja ambayo ilivunja kioo cha dirisha na kumjeruhi Hassan Mbonde kichwani
Mwanzo wa danadana ...nchi ya siasa kila kona
 
Watu wamechangia vizuri sana, hii ni kabla uzi wakulana kimasihara haujaja.
 
emoji38.png
emoji38.png
[emoji38
Kweli mkuu, tena na picha zilisambaa sana hasa za damu kwenye gari. Alafu mshikaji wa kitaa familia yake home kwao kawe mwisho.
Asa nashangaa humu wengine wanabisha mara gari la mchanga😂 mwengine anasema taxi😂 wakati me dogo wa darasa la pili nakumbuka vizuri
 
Ila hiyo tabia ya kumfugia kioo mtu anayekusemesha tena wewe ndiye umemkosea inakera kishenzi.
 
Kulikoni: Pole maana inabidi uwe na roho ngumu kuitete serikali ya CCM.

Kwa kuongezea pale waliposema Kazi na MKJJ, suala hili ni la kisera kisha kisheria. Serikali inayoongozwa na chama chenye akili na inayotaka kuzingatia utawala wa sheria na haki za binadamu, ingeandaa sera na kisha mswada wa sheria wenye kuanisha waziwazi muda wa kukamilika kwa kesi na kama ushahidi haupo nini kifanyike. Sasa hili mahakama haiwezi kufanya; mahakama haiwezi kutunga sheria na kutoa hukumu hapohapo, wewe si jana umeongelea mgawanyo wa madaraka, leo tena umeshasahau?

Sasa kama mtu anakaa mahabusu for six years, what happens akipatikana hana hatia? Hatuoni kuwa tunawaadhibu watu mara mbili?

Tunakuomba ulione hili kama tatizo na uwashawishi wenzako serikali litafutiwe ufimbuzi wa kiutendaji na kisheria pia.
Now umekuwa kada mtiifu wa chama cha mapinduzi
 
Karibu sana Mkuu
 
Msenge sana huyu Ukiwaona.
Umeifufua thread ili kumtukana tu Ditopile? Mtu aliyekufa hatukanwi bwana. Hayo ni maadili gani?
Mimi nilikwenda Keko kumuona Ditopile.
Kosa alilofanya Ditopile ni kubwa.
Hawa vijana waliletwa katika Chama,walikuwa vijana sita kutoka UDSM,Ditopile,Kikwete,na wengine nani sijui. Ilikuwa inadhaniwa hawa intellectuals wanaweza kuwa asset kubwa kwa Chama. Kwa hiyo Ditopile alivyofanya vile alikiabisha sana Chama.
Kwa hiyo ile CCM ya zamani waliwakaribisha wasomi ili Chama kipendeze.
Ndio inavyotendeka siku hizi? Hapa inaelekea kama Mkuu anamchagua msaidizi ambaye siyo glamorous ili yeye Mkuu apendeze kuliko wasaidizi wake.
Viongozi wanachaguliwa kimakosa,halafu inevitably kazi inaharibika.
 
Back
Top Bottom