Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,374
- 10,700
Weka beiNi uongo bhana.
Weka beiNi uongo bhana.
Weka bei halisiWeeèeee
60MWeka bei
Labda zero kilometers new modelHata kama Watanzania ni Wajinga lakini hakuna gari ya aina hii ambayo bei yake ni kama hii, huu ni uongo wa mchana kweupe
View attachment 3674154
Hiyo gari ya Serikali; halipiwi kodi bhana!Zero km. Bei ni sawa.
Mjanja si mwenyewe aliyenunua kwa bei hiyo akiwa ofisini.Miaka 5 ni mingi sana kuna mjanja atauziwa hiyo gari kwa million 2 tu, Karibu shamba la bibi.
Niliwahi nunua Nissan Hardbody kwa milioni 4,ilikuwa haina tairi zote.Miaka 5 ni mingi sana kuna mjanja atauziwa hiyo gari kwa million 2 tu, Karibu shamba la bibi.
Sio Zero kilometreZero km. Bei ni sawa.
Hiyo sio Zero KilometreThe official retail prices for brand new, zero-kilometer Toyota Coaster and Toyota Hiace models from the authorized dealer, Toyota Tanzania Ltd., are as follows:
View attachment 3674159
Toyota Coaster (Zero-Kilometer): Starting from TZS 253,338,587
Chanzo: Google
- Engine: 4.2L Diesel
- Average Fuel Consumption: 8L / 100KM
Hata zilizotumika zinavuka 100m
Hapo itategemea na uzoefu wa manunuzi wa anayehoji. Kuna tofauti kati ya zero km na beforward.Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini hakuna gari ya aina hii ambayo bei yake ni kama hii, huu ni uongo wa mchana kweupe
View attachment 3674154
Hitajio ni Toyota coaster ulete yutong?Si angenunua yutong sasa!
Kwa hiyo hapa hamna hamna kuna milioni 80 zinabakiThe official retail prices for brand new, zero-kilometer Toyota Coaster and Toyota Hiace models from the authorized dealer, Toyota Tanzania Ltd., are as follows:
View attachment 3674159
Toyota Coaster (Zero-Kilometer): Starting from TZS 253,338,587
Chanzo: Google
- Engine: 4.2L Diesel
- Average Fuel Consumption: 8L / 100KM
Dogo mtoa post hayuko well informed halafu anajifanya mjuaji!The official retail prices for brand new, zero-kilometer Toyota Coaster and Toyota Hiace models from the authorized dealer, Toyota Tanzania Ltd., are as follows:
View attachment 3674159
Toyota Coaster (Zero-Kilometer): Starting from TZS 253,338,587
Chanzo: Google
- Engine: 4.2L Diesel
- Average Fuel Consumption: 8L / 100KM
RASWeeèeee
kijamaaa kina wivu kama wa hilda newtonBei Iko Sawa kabisa Coaster Mayai hiyo na wamezingatia sera ya Magari ya serikali 0km hiyo Erythrocyte tukikwambia wewe ni Chizi unaona tunakutukana kwa akili yako hiyo gari 0km unaona bei gani? Ni 30 seater
Wacha kuleta taharuki mkuu, Samia ameruhusu watu kula kwa urefu wa kamba zao hivyo huyo ametii agizo la mamlaka ya uteuzi.Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini hakuna gari ya aina hii ambayo bei yake ni kama hii, huu ni uongo wa mchana kweupe
View attachment 3674154