uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 18,818
- 31,395
Wakala wa Toyota? Kama vile Karimjee? Au unamaanisha nini?Kama walinunua kwa wakala, hakuna shida
Wakala wa Toyota? Kama vile Karimjee? Au unamaanisha nini?Kama walinunua kwa wakala, hakuna shida
Hapana, kupitia taasisi ya serikaliWakala wa Toyota? Kama vile Karimjee? Au unamaanisha nini?
Hii nayo haina comebackWadanganye masikini wenzio
Wadanganye masikini wenzioBei Iko Sawa kabisa Coaster Mayai hiyo na wamezingatia sera ya Magari ya serikali 0km hiyo Erythrocyte tukikwambia wewe ni Chizi unaona tunakutukana kwa akili yako hiyo gari 0km unaona bei gani? Ni 30 seater
We kilaza ndiyo masikini unaona 334m ni nyingi kwa coaster 0km unafikiri serikali inapata hasara utakufa kwa umasikini na Roho mbaya Kima weweWadanganye masikini wenzio
Gari hilo siyo PediNi uongo bhana.
Ukute wewe unaishi kwa dada yako.Mpumbavu sana huyu yaani hili nalo la kukimbilia JF na kuanzisha Thread? Yaani huyu kajaa roho mbaya unakuta hajawahi kumiliki hata Baiskeli anachukulia mambo kirahisi rahisi tuu kwanza coaster ni gari ngumu sana ina egine ya 1HZ itatumika miaka na miaka yaani hata baada ya kumaliza miaka 5 ya kiserikali itakua kama bado mpya
Nimeona andiko lao.Hapana, kupitia taasisi ya serikali
Hapo hakuna shida, mkoani ni wapokeaji tu, ila wanunuzi ni wakala, kama kuna malalamiko wakala ndio wanatakiwa kubeba hiyo risk.Nimeona andiko lao.
Wamepitia GPSA...
Unaijua bei ya yutong lakini 😆Si angenunua yutong sasa!
Gari limenunuliwa Tanzania Kila kitu kimeshalipiwa utalinunua kwa sh. Ngapi? We kilaza unafikiri kila kitu cha serikali basi exemption ni lazima zipo taasis za serikali magari yao yamelipiwa kodi kabisa hii inatokana na kama ununuzi umefanyika wa gari moja hapa mara nyingi wananunua kwa toyota yakiwa yamelipiwa kodi ununuzi wa Bulk Magari mengi Order ya moja kwa Moja Japani ndiyo mara nyingi zinaombewa exemption wizara ya Fedha.Wewe zwazwa kuna exemption ya kodi kwa kuwa ni serikali haya tuwekee hesabu tuone hiyo thamani yake
Uncircumcised baboon hapo ndiyo unajiona umeandika point mbwa weweGari limenunuliwa Tanzania Kila kitu kimeshalipiwa utalinunua kwa sh. Ngapi? We kilaza unafikiri kila kitu cha serikali basi exemption ni lazima zipo taasis za serikali magari yao yamelipiwa kodi kabisa hii inatokana na kama ununuzi umefanyika wa gari moja hapa mara nyingi wananunua kwa toyota yakiwa yamelipiwa kodi ununuzi wa Bulk Magari mengi Order ya moja kwa Moja Japani ndiyo mara nyingi zinaombewa exemption wizara ya Fedha.
Sasa hao si ndiyo government procurement service agencyNimeona andiko lao.
Wamepitia GPSA...