Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akamatwe kwa Ufisadi

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akamatwe kwa Ufisadi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,092
Reaction score
285,750
Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini hakuna gari ya aina hii ambayo bei yake ni kama hii, huu ni uongo wa mchana kweupe

Screenshot_20260919_192916_Instagram.jpg
 
Huyo mwehu,anadhani gari mpya bei ni sawa na hiyo mitumba wanayoagiza Dubai iliyotumika miaka 10+
Mpumbavu sana huyu yaani hili nalo la kukimbilia JF na kuanzisha Thread? Yaani huyu kajaa roho mbaya unakuta hajawahi kumiliki hata Baiskeli anachukulia mambo kirahisi rahisi tuu kwanza coaster ni gari ngumu sana ina egine ya 1HZ itatumika miaka na miaka yaani hata baada ya kumaliza miaka 5 ya kiserikali itakua kama bado mpya
 
Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini hakuna gari ya aina hii ambayo bei yake ni kama hii, huu ni uongo wa mchana kweupe

View attachment 3674154
Hii ni fraction ndogo tu ya fedha ambayo imepigwa na familia ya Mama Abdul. Kwahiyo, huyu hatafanywa chochote. Mazafaka ana kibali cha kula kwa urefu wa kamba yake!
 
Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini hakuna gari ya aina hii ambayo bei yake ni kama hii, huu ni uongo wa mchana kweupe

View attachment 3674154
Tz ya Leo hamna wa kumkamata zaidi atapaishwa,na kuingizwa kwenye mtandao kwani kwa tafsiri ya CCM huo ndiyo Uzalendo kwa Tanganyika ila sii unguja wala Pemba😀
 
Ndo serikali yako hiyo mkuu na ukiongea sana wanakuteka wanakuuaa😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

Vipi kama hapo ndo wananchi tusiongeee!!?

Hata mimi maskini kwa hiyo hela ningewapelekea hata yutong 2 kavu na mchina angenipa 2 tena jumla zingekua 4 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom