cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,312
Basi tufanye 160MHata zilizotumika zinavuka 100m
Basi tufanye 160MHata zilizotumika zinavuka 100m
Vingozi wa ccm ni kama ukoo wa nguruwe hawana aibu. Wanakula tu hadi wanavimbiwa hadharani bila aibuHata kama Watanzania ni Wajinga lakini hakuna gari ya aina hii ambayo bei yake ni kama hii, huu ni uongo wa mchana kweupe
View attachment 3674154
Hapana ni zaidi ya hiyo pesa hiyo hela utapata used ya 2025 ni rand 1000,000 Toyota SA wanazo nyingi tu hizo.Basi tufanye 160M
Starting from....inaweza kuzidi kutokana na specification. Labda mleta mada atupe spec za hii anayoikataa bwi.The official retail prices for brand new, zero-kilometer Toyota Coaster and Toyota Hiace models from the authorized dealer, Toyota Tanzania Ltd., are as follows:
View attachment 3674159
Toyota Coaster (Zero-Kilometer): Starting from TZS 253,338,587
Chanzo: Google
- Engine: 4.2L Diesel
- Average Fuel Consumption: 8L / 100KM
Wewe zwazwa kuna exemption ya kodi kwa kuwa ni serikali haya tuwekee hesabu tuone hiyo thamani yakeBei Iko Sawa kabisa Coaster Mayai hiyo na wamezingatia sera ya Magari ya serikali 0km hiyo Erythrocyte tukikwambia wewe ni Chizi unaona tunakutukana kwa akili yako hiyo gari 0km unaona bei gani? Ni 30 seater
Haizidi 200MHapana ni zaidi ya hiyo pesa hiyo hela utapata used ya 2025 ni rand 1000,000 Toyota SA wanazo nyingi tu hizo.
Wengi tunaona ni bei kubwa, kwa sababu wengi tunanunua magari 'used' kutoka Japan na kwingineko huku tukijifariji ni gari mpya.Starting from....inaweza kuzidi kutokana na specification. Labda mleta mada atupe spec za hii anayoikataa bwi.
Kama wamenunua kupitia taasisi ya serikali, gpsa hakuna ya maji, ila huko kwingineko wanaweza pata chochote.Kwa hiyo hapa hamna hamna kuna milioni 80 zinabaki
Kwa nini unasema hivyo?Hiyo sio Zero Kilometre
Oya wewe apo umeweka na kodi ujue ndio inakuja pesa hii.. kumbuka mari ya serikali ailipiwi kodi ujue 150-180m net haizid apqThe official retail prices for brand new, zero-kilometer Toyota Coaster and Toyota Hiace models from the authorized dealer, Toyota Tanzania Ltd., are as follows:
View attachment 3674159
Toyota Coaster (Zero-Kilometer): Starting from TZS 253,338,587
Chanzo: Google
- Engine: 4.2L Diesel
- Average Fuel Consumption: 8L / 100KM
So hapo wamekula almost 80MThe official retail prices for brand new, zero-kilometer Toyota Coaster and Toyota Hiace models from the authorized dealer, Toyota Tanzania Ltd., are as follows:
View attachment 3674159
Toyota Coaster (Zero-Kilometer): Starting from TZS 253,338,587
Chanzo: Google
- Engine: 4.2L Diesel
- Average Fuel Consumption: 8L / 100KM
Sahihi so wamekula almost 150MOya wewe apo umeweka na kodi ujue ndio inakuja pesa hii.. kumbuka mari ya serikali ailipiwi kodi ujue 150-180m net haizid apq
Naunga mkono hoja.A brand new standard Yutong bus starts at an indicative price of $83,500 CIF Dar es Salaam port, according to official details from the Yutong Bus Company Tanzania. Kwa kiwango cha Leo cha kubadilisha pesa hiyo yutong ni sawa na Tsh.219 milioni (2628 x 83500)Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini hakuna gari ya aina hii ambayo bei yake ni kama hii, huu ni uongo wa mchana kweupe
View attachment 3674154
Sahihi lakini nafikiria kwa uelewa wangu mdogo 330M ni pesa nyingi kwa hiyo gariStarting from....inaweza kuzidi kutokana na specification. Labda mleta mada atupe spec za hii anayoikataa bwi.
Kama wamenunua kwa sekta binafsi, wanaweza kupata chochote.So hapo wamekula almost 80M
Kama wamenunua kupitia taasisi ya serikali, gpsa hakuna ya maji, ila huko kwingineko wanaweza pata chochote.
Mkuu, niliwahi kununua magari ya kampuni flani hivi 0Km na yanafika hapo bandari ya Dar yakiwa na 14-15Km.Wengi tunaona ni bei kubwa, kwa sababu wengi tunanunua magari 'used' kutoka Japan na kwingineko huku tukijifariji ni gari mpya.
Kama walinunua kwa wakala, hakuna shidaMkuu, niliwahi kununua magari ya kampuni flani hivi 0Km na yanafika hapo bandari ya Dar yakiwa na 14-15Km.
Labda kama bei zimepanda kupindukia.
Hiyo Coster bei yake ni kubwa sana 330M parefuu Ukiagiza South unapata mbili
Labda waweke specification tuone